Inasikitisha Sana....Hakuna mwanamke atakayevumilia shida ,ukiona anavumilia basi jua kuna maokoto yapo yapo ,yakikata tu na yeye Shaaaaaaaaaaaaa!!Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu
Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya mkewe alipokuwa na afya njema
Shida pia ni JINA lake ZIMWIJamaa anaaitwa Zimwi kama jina lake halisi au la kisanii?