Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii mpya wa kike wa WCB leo atazindua EP yake baada ya kutoa single song yake ya "Wana" ambayo Hadi sasa Ina viewers million 1+ kwa siku 2 Pekee nakuwa msanii wa kwanza wa kike ambayo ngoma yake ya kwanza imefika million 1 kwa siku mbili tu.
Ngoma hizo ambazo zipo kwenye EP yake ni Kama zifuatazo
1.Hakuna kulala
2.Nisamehe
3.Kwaru
4.Wana
5.Raha
CSTcCBhyt3Ehd-640x360-1-640x334.jpg
92505608_215748859650842_3656733415475587488_n.jpg
 
Kweli siku hizi sifuatilii muziki yaani wimbo hadi una view 1m+ ila sijawahi kuusikia!! Au sio mzuri? Maana wimbo mzuri utakufata wenyewe hata usipoufata
Mkuu Hawa wasanii wa Wcb wanatembelea kivuri cha boss wao ila uwezo wao mdogo.

isingekua yupo chini ya Diamond mpaka kufikia mda huu hata Views 20k hangekua hajafika,
 
Kuna mtu naweza nikawa nimemsaidia kwa hili

An extended play record, often referred to as an EP, is a musical recording that contains more tracks than a single, but is usually unqualified as an album
 
kiufupi wcb wanatoa nyimbo za kawaida siku hizi halafu promotion kubw sasa kama nyimbo ya huyo dada sijui ata anachoimba nini
Wimbo mbaya kinoma..In my opinion..Yaani huwezi kulinganisha na debut za kina Harmonize(aiyola),Rayvanny(Kwetu) na hata Wale madogo wengine

Sema hawa WCB kama wachawi vile..they have an extra power
 
Kwani wengine wamekatazwa kutembelea uwezo wa maboss wao?

Nyie pigeni kelele ila mwisho wa SIKU NUMBER na MUDA zitaongea.
View attachment 1416983
Najua mtabisha mpaka kesho ukweli ndo huo wimbo mbovu, Kivuri kinawabeba ila uwezo wao mdogo mno,. Promo kubwa watu wanaenda kucheki wanakutana na matakataka..

hata hiyo Ep itakua mbovu tu style ya uimbaji itakua ile ile maadhi ya taarabu kwenye beat za bongo fleva wanajaribu kupatahit kupitia Ep
 
Back
Top Bottom