Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Watu mnasahau kitu kimoja kwenye hii game - branding. Wimbo wa Mziwanda uliofeli akiuimba hivyo hivyo Mondi au Konde unahit sababu gani? Branding. Wimbo wa Mondi/Konde akiimba hivyo hivyo Mziwanda ukabuma sababu gani? Branding. Huyu Zuchu ni mtoto wa Khadiaj Kopa ambae ni brand kubwa. Kwa hiyo pale WCB wamepanua brand yao kwa kusaini mtu ambae ni brand. Na ndio maana siku ya uzinduzi na Kopa ali perform.
Yule Zuchu si mkali kivile (labda tuone ukali wake baadae) ila yule ni brand tayari. Si ajabu asingekua mtoto wa Kopa asingesainiwa. Ndio biashara ya entertainment ilivyo.
Huko nje watoto wa mastar anaingizwa kwenye movie kubwa na wenye uwezo zaidi yao wanaachwa sababu ya kuangalia branding kwenye biashara. Kwa hiyo ukiniambia nifananishe usajili wa Zuchu (WCB) na Ibra (KMW) nasema Zuchu wamepiga bao mbali sana kulinganisha na Ibra !!!