Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Kweli siku hizi sifuatilii muziki yaani wimbo hadi una view 1m+ ila sijawahi kuusikia!! Au sio mzuri? Maana wimbo mzuri utakufata wenyewe hata usipoufata
Si kuna misukule kaka kitu siyo kitu kwao kitu ili waonekane bora...hamna ngoma pale usije hata jisumbua labda tusubiri hizi za kwenye EP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii mpya wa kike wa WCB leo atazindua EP yake baada ya kutoa single song yake ya "Wana" ambayo Hadi sasa Ina viewers million 1+ kwa siku 2 Pekee nakuwa msanii wa kwanza wa kike ambayo ngoma yake ya kwanza imefika million 1 kwa siku mbili tu.
Ngoma hizo ambazo zipo kwenye EP yake ni Kama zifuatazo
1.Hakuna kulala
2.Nisamehe
3.Kwaru
4.Wana
5.RahaView attachment 1416914View attachment 1416915
Labda tusubiri hizi kadhaa za kwenye EP siyo ule uchafu mnaotaka kutuaminisha ni ngoma Kali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wimbo mbaya kinoma..In my opinion..Yaani huwezi kulinganisha na debut za kina Harmonize(aiyola),Rayvanny(Kwetu) na hata Wale madogo wengine

Sema hawa WCB kama wachawi vile..they have an extra power
Hakuna extra power bro....angalia wanavyokukuruka yutubu kule hahahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We endelea kuongozwa na HISIA ila mwisho wa SIKU si tutaangalia NUMBER kwani NUMBER hazidanganyi.
Nahisi mashabiki wa WCB ndo wana hisia Kali kuliko waigizaji wa KIHINDI hawa hawataki hata kumsikia KONDE BOY wakati walimtukuza kwa Kila aina ya sifa kama mlimsapot kwa sababu ya uwezo wake kwann sasa mnamponda HISIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulitaka yakuchezeka ndo maana lakini hiyo ngoma ipo poa kuanzia beat, Melody mpaka mashairi ulikuwa unataka Nini zaidi ya hivyo
Yeye kazungumzia Muziki mzuri usimuwekee maneno mdomoni mwake na kampa nafas ya Ku improve so kama atafanya vizuri huweza akaja na maoni tofauti kimsingi hata kwangu WIMBO WA KAWAIDA MNO...let's wait hizo zilizopo kwenye EP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasikilize vizuri Tena Mara kwa Mara utaupenda na utavuta comment yako ulioandika huyu dada ni fundi na best vocalist na ameshiriki kwenye shindano la vipaji la Tecno own stage lililofanyika Nigeria kwa Tanzania walitoka wawili tu Nandy na Zuchu mwenyewe na pia zuchu alikuwa ndio anategeneza jingle nyingi pale Wasafi.Tukija kwenye wimbo wake huu kachanganya vitu vitatu bongo fleva, mziki wa bwani na ladha ya kihindi kwa mbali huo ndio ubunifu wenyewe na Jambo zuri kwa huyu dada si tu anaimba lakini ni writer mzuri ana andika nyimbo mwenyewe, uandishi wa huo wimbo ni mzuri Sana lakini pia ni wimbo wa kudumu huwezi kuuchoka kusikiliza kiufupi huyu dada ni fundi.
Muziki wa BWANI ndo upi kaka?...acha kutetemeka hadi unakosea kuandika...usimlazimishe mtu apende unachopenda wewe kaka ushaambiwa hakuna kitu pale siyo habari ya kumshauri mtu eti usikize Mara nyingi utaupenda Hahahahahahaaaa...hali ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnasemaga hivi ila baadae wakiambiwa gharama za kuvunja mkataba ni milioni 600 mnaanza kusema Diamond mnyonyaji mnasahau investment iliyofanywa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hadi umlipishe mtu mil 600 manake wakati upo nae hakuwai kukuingizia faida au ndo faida alizoingiza tuna + na hiyo mil 600???...mtoto wa watu alikuwa na njaa ya kutoka tu ndo maana aliingia mkataba wa ki KENGE utapeli,dhuluma tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini ushawahi kusifia WCB ww?

Wewe mpaka radio ulikuwa unaponda mpaka watangazaji wake ukafikia kusema,Mondi anapoteza hela yake siku hizi makampuni hayatoi matangazo.

Wamewachukua akina Jonijo ukasema "Madogo wenyewe hawajui,wanawaiga XXL".Juzi wamewachukua akina Kitenge na Dida ukasema "Mondi anapoteza hela zake siku makampuni yamepunguza matangazo".

Ila thread za Kiba na Mjengoni Clouds hapo unazipamba.Brother hii jamii forum usiwe mnafiki JF itakuumbua.
Wewe lini ulisifia mjengoni na KING KIBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is a History written in Africa for the first time. An upcoming artist with a million views less than 72 hrs...
Movements... Movies za WCB

Ndo hizi sasa.
Kitu kimoja tu kimegoma mlitamani YouTube atrend namba 1 ili muingize kwenye rekod zenu za kulazimisha sema ndo kuna DODO pale Hahahahaaaa mmebuma vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom