Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

We jamaa nahisi Ukiona wasafi wamefanya mambo mazuri na ya kushangaza,huwa unajifungia geto kwako unalia sana,majirani wakidhani labda una maombi maalumu kumbe hasira na wivu vimekukaba shingoni,

Utakuja kuokotwa mtaroni kwa kisiriri chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Mzee naona unatetea ugali kwa nguvu zote[emoji3][emoji3]
Mbona uzi wa dodo mbaya mlisupport?
Wewe ulitaka yakuchezeka ndo maana lakini hiyo ngoma ipo poa kuanzia beat, Melody mpaka mashairi ulikuwa unataka Nini zaidi ya hivyo
 
Yan mpka asikilize mara nyingi? We jamaa ebu kuwa serious
Kasikilize vizuri Tena Mara kwa Mara utaupenda na utavuta comment yako ulioandika huyu dada ni fundi na best vocalist na ameshiriki kwenye shindano la vipaji la Tecno own stage lililofanyika Nigeria kwa Tanzania walitoka wawili tu Nandy na Zuchu mwenyewe na pia zuchu alikuwa ndio anategeneza jingle nyingi pale Wasafi.Tukija kwenye wimbo wake huu kachanganya vitu vitatu bongo fleva, mziki wa bwani na ladha ya kihindi kwa mbali huo ndio ubunifu wenyewe na Jambo zuri kwa huyu dada si tu anaimba lakini ni writer mzuri ana andika nyimbo mwenyewe, uandishi wa huo wimbo ni mzuri Sana lakini pia ni wimbo wa kudumu huwezi kuuchoka kusikiliza kiufupi huyu dada ni fundi.
 
Sijawahi kutoa comment kama hii..maana mimi naheshimu mtu anayepambana i.e diamond..Na nilichokuwa nakosoa ni kipindi cha usiku kile ambacho pia wadau wengi wamesema hamna kitu na kimefutwa..unafiki wangu uko wapi?..Pia kuiga iga..kukosoa ni kosa?,,sio kwamba tunataka mlengwa afanikiwe?

Wewe pia sema hupendi kuambia kitu negative kuhusu wcb.
Ww Acha uongo mkuu,kipindi hakijafutwa kipo ila wanareview contents za kipindi kukitofautisha na kile cha mchana cha kina liliommy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee naona unatetea ugali kwa nguvu zote[emoji3][emoji3]
Mbona uzi wa dodo mbaya mlisupport?
Dodo beat mbaya pia Melody sio nzuri ndo imeiangusha huo wimbo lakini sio kwa sababu wimbo ni slow mbona Mario ngoma zake ni slow lakini zinabamba.
 
Nimesema inabidi aje na kitu kingine kikali ili atushawishi sisi wengine ila hii hapana,mbona nimesema rayvann na harmonize walifanya fresh kwenye debut singles zao..maana kama kufanikiwa atafanikiwa,ila mpaka mimi nimkubali lazima afanye vitu kwa level fulani ya juu..

Anyway,tufunge mjadala..nisije kuonekana mchawi bure..Huyu zuchu aendelee kufanya kazi zake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu umeamua kuzira na kufunga mjadara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini hakuwa hawa[emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa alishatibiwa imetosha pale tu,halafu Nasikia alimnyimaga mbunye boss wa WCB enzi hizo bado hajawa msafi

Kwaio acha aishi kwenye ujeuri wake
Mondi saizi macho Kodo kuelekea Rwanda,nadhani kagame atakuwa kesha muandalia kashamba kakumwagia mbegu
Hiyo ndio faida ya kuwa na nyota nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata mm naamini nikisajiliwa wcb nikatoa nyimbo naamini ntapata viewers wengi tu sijui jamaa wachawi wale..[emoji1]
Sio wivu..ningekuwa na wivu nisingesifia debut singles za kina Rayvanny na wengine..sema nyie mashabiki hoyahoya huwa mnakuwa kama mmelogwa na hamtaki kusikia maoni negative kutoka kwa watu..

She has to come with something special ili sisi wapenda muziki kutoka kwa real talents tumuelewe..ila for the meantime wewe unaweza kuendelea kumpa 5star zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In my Opinion..

Nasikiliza genre mbalimbali za muziki,so nina standard..

Huyu msanii angekuwa hayupo WCB hata 50k asingekuwa amepata

Ana nafasi ya kuimprove..uimbaji wake wakawaida sana
Uko sawa kabisa..
Kwa uimbaji wake nadhani huo wimbo ungekufa hata mimo sijausikia..
WCB inambeba sana.. na wasanii kama Marioo wamgekuwa WCB na zile ngoma zake kama INATOSHA nadhani Tz ingesimama
 
Back
Top Bottom