YahKumbe zuchu ni mdada??
Nilikuwa nasikia sikia tu...zuchu zuchuuuu
Na wewe pia.Mzee pasaka njema kwanza
Hapo unajiona kama wewe ni Hassan marinFor the first time Jeje nimeiona na kuisikia jana Utube.
Zile nyimbo alotoa rayvan ndio sijasikia hata mmoja..Au sijui kwio hata sijayasiki.
Sipendagi Trending things
Kweli siku hizi sifuatilii muziki yaani wimbo hadi una view 1m+ ila sijawahi kuusikia!! Au sio mzuri? Maana wimbo mzuri utakufata wenyewe hata usipoufata
Mkuu Hawa wasanii wa Wcb wanatembelea kivuri cha boss wao ila uwezo wao mdogo.Kweli siku hizi sifuatilii muziki yaani wimbo hadi una view 1m+ ila sijawahi kuusikia!! Au sio mzuri? Maana wimbo mzuri utakufata wenyewe hata usipoufata
Kwani wengine wamekatazwa kutembelea uwezo wa maboss wao?Mkuu Hawa wasanii wa Wcb wanatembelea kivuri cha boss wao ila uwezo wao mdogo.
isingekua yupo chini ya Diamond mpaka kufikia mda huu hata Views 20k hangekua hajafika,
Wimbo mbaya kinoma..In my opinion..Yaani huwezi kulinganisha na debut za kina Harmonize(aiyola),Rayvanny(Kwetu) na hata Wale madogo wenginekiufupi wcb wanatoa nyimbo za kawaida siku hizi halafu promotion kubw sasa kama nyimbo ya huyo dada sijui ata anachoimba nini
Dudubaya siku hizi WamemtelekezaVp unamzungumziaje dudubaya saa hivi
Kwa misingi ipi unasema wimbo ni mbaya mkuu?Wimbo mbaya kinoma..In my opinion..Yaani huwezi kulinganisha na debut za kina Harmonize(aiyola),Rayvanny(Kwetu) na hata Wale madogo wengine
Sema hawa WCB kama wachawi vile..they have an extra power
Najua mtabisha mpaka kesho ukweli ndo huo wimbo mbovu, Kivuri kinawabeba ila uwezo wao mdogo mno,. Promo kubwa watu wanaenda kucheki wanakutana na matakataka..Kwani wengine wamekatazwa kutembelea uwezo wa maboss wao?
Nyie pigeni kelele ila mwisho wa SIKU NUMBER na MUDA zitaongea.
View attachment 1416983
Kuna mtu naweza nikawa nimemsaidia kwa hili
An extended play record, often referred to as an EP, is a musical recording that contains more tracks than a single, but is usually unqualified as an album