Msaniii LULU new look, so hot huh?

Amesha anza, huyu mtoto bado ni mtuhumiwa, sasa hayo mapaja ya nini? Hatuhitaji kuona uchafu, nadhani hajakoma huyu, maanake ni moto chini sana huyu binti,,,,nasikia kichefuchefu
 
Amesha anza, huyu mtoto bado ni mtuhumiwa, sasa hayo mapaja ya nini? Hatuhitaji kuona uchafu, nadhani hajakoma huyu, maanake ni moto chini sana huyu binti,,,,nasikia kichefuchefu

Mkuu taratibu, hivi mapaja ni uchafu?
 
Lile babu bazazi babu tambi bado linazengea?najua atakuwa amelipa sana bills kwa wakili waliomtoa binti!au ndio yeye amempangia nyumba mbezi?kazi kweli pipi hizi ......tamu sana hata zikiwa na maganda?
 
sasa nadhani she is looking for another VICTIM yaani sasa hv atanasa kiumbe.... kama movie vile
 
Daaaah muongo sana anaonesha fanta alaf anakunywa castle!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…