Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto akikua ataachamkuu Askari Kanzu nahisi umeniwahi kwasababu ndio swali hilo hilo nilikua nataka niliulize,bado tu hajajifunza kitu huko alikokaa mwaka mzima ulioisha?
Lile babu bazazi babu tambi bado linazengea?najua atakuwa amelipa sana bills kwa wakili waliomtoa binti!au ndio yeye amempangia nyumba mbezi?kazi kweli pipi hizi ......tamu sana hata zikiwa na maganda?
Acha kuzugaAmesha anza, huyu mtoto bado ni mtuhumiwa, sasa hayo mapaja ya nini? Hatuhitaji kuona uchafu, nadhani hajakoma huyu, maanake ni moto chini sana huyu binti,,,,nasikia kichefuchefu