Msaniii LULU new look, so hot huh?

Huyu mtoto Atammalizia kapteni nyonga yake kabisa
 
Haka kabinti machachari kweli.
 
Mm hata nikija kuwa pesa kiasi gani na respect ya jamii kupita waziri au rais watu ambao sitataka kuwasikia au kuwaona wakinisogelea ni hwa bitches wa bongo movie bongo lala i hate them
 
Kuua bila kukusudia haina kulipa fine kama kajala mjue.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
"Mabata ushungu mie"


Sent from my EyePhone
 
Lile babu bazazi babu tambi bado linazengea?najua atakuwa amelipa sana bills kwa wakili waliomtoa binti!au ndio yeye amempangia nyumba mbezi?kazi kweli pipi hizi ......tamu sana hata zikiwa na maganda?

Zee lenyewe transforma!
 
kweli hata mie najiuliza kumbe kameanza tena, hakajakoma tu, kweli jasiri haachi asili..... jela haijamfunza tu, wenye akili huwa wanatulia kidooogo, kwani hata kutoka kwake kwa dhamana juu ya kesi yake ya kutuhumiwa kuua bado ni kitendawili. mi nashangaa sana katoto kadogo haka lakini kamalayaaaaa... ugh..:nono::nono:
 
Nani mshauri wa huyu binti? Tayari alishaanza kupata sympath ya umma, tukaona amebadilika, anavaa vizuri na anaheshima, kujitokeza kwenye mitandao kwa namna hii na namna nyingine tulizokwishaziona kunaweza kumuweka kwenye hali ngumu katika kesi yake, anaweza kushawishika kufanya matukio yasiyopendeza mbele ya macho ya wanajamii. Kama ningekuwa katika nafasi yake, ningepita tu kwenye mitandao kuona yanayoendelea na si kuwa active member, atleast untill the case is over.
 
mambo ya kipaply siku hizi...... hii danganya toto wewe ni wa vinywaji vikali na DUSHELELE!
 
inA maana huyu dogo harudi tena jela.
 
Amesha anza, huyu mtoto bado ni mtuhumiwa, sasa hayo mapaja ya nini? Hatuhitaji kuona uchafu, nadhani hajakoma huyu, maanake ni moto chini sana huyu binti,,,,nasikia kichefuchefu
Acha kuzuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…