KERO Msata, Pwani: DAWASA wamefunga maji zaidi ya siku 3. Wanadai hawana hela ya kutengeneza bomba lililopasuka

KERO Msata, Pwani: DAWASA wamefunga maji zaidi ya siku 3. Wanadai hawana hela ya kutengeneza bomba lililopasuka

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kumekuwa na kawaida ya eneo la Msata kuelekea Kituo cha Afya kukosa maji mara kwa mara, tunapowapa taarifa ya kupasuka kwa bomba wanafunga maji hadi siku tatu tukiwauliza wanasema hawana hela ya vifaa au gundi.

Hivyo, mmiliki wa car wash kwa kuwa biashara inahitaji maji amekuwa akitoa fedha kwa ajili ya kuchimba na KUNUNUA vifaa na kuwalipa lakini bado tutasubiri hadi siku tatu hakuna maji…

Soma Pia: Nini kimetokea DAWASA? Maji yamepotelea wapi? Kuna matatizo gani?

Mafundi wao wamepata tenda ya ghorofa kuweka system ya maji kwa hiyo hawatujali wananchi...

Hii ni kero kubwa kwetu.
 
Back
Top Bottom