Kumekuwa na kawaida ya eneo la Msata kuelekea Kituo cha Afya kukosa maji mara kwa mara, tunapowapa taarifa ya kupasuka kwa bomba wanafunga maji hadi siku tatu tukiwauliza wanasema hawana hela ya vifaa au gundi.
Hivyo, mmiliki wa car wash kwa kuwa biashara inahitaji maji amekuwa akitoa fedha kwa ajili ya kuchimba na KUNUNUA vifaa na kuwalipa lakini bado tutasubiri hadi siku tatu hakuna maji…