MSC.ACCOUNTING & FINANCE

omoghaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
293
Reaction score
166
Kwa wale waliopita vyuo vya IFM na IAA,
Naomba ushauri wenu wa wapi pazuri kusoma hiyo Master ya Accounting & Finance.Ninachohitaji zaidi ni kuhusu Resources na Course contents.
Wapi naweza kutoboa vizuri hasa ikizingatiwa ni muajiriwa na muda wa kujisomea ni mdogo.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
 
Kama ulishapata CPA soma course nyingine mkuu.otherwise Mzumbe ni jina kubwa kuliko IFM tunazungumzia mambo ya popularity ya chuo Internationaly
 
Nina CPA(T) lakini nataka niwe mbobevu wa Accounting and Finance.
Mzumbe hawana hiyo Course kwa hapa Dar es Salaam.
 
Nenda IAA hapo IFM Pamejaa drama tu.
Kwa maoni yangu lakini.
 
Nina CPA(T) lakini nataka niwe mbobevu wa Accounting and Finance.
Mzumbe hawana hiyo Course kwa hapa Dar es Salaam.
Mkuu nenda IFM,

Me binafsi nina mpango kusoma hiyo Msc.AF.
Nipo intermediate level ya CPA now.

Naomba kujua degree yako ulisomea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…