Msc Disaster and Risk Management DRM

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
Naomba kujuzwa na wataalamu wanaoelewa,vp hii programme inalipa mtaani?
 
Wewe mpaka unatafakari kusoma masters hujajua kama inalipa au hailipi? Kweli bongo ina vilaza wengi sana.
Kajifunze kufikiri kwa kishindo kwanza mazee.
 
Siyo ukilaza bali ni mfumo wa maisha tulionao, wengi wanasoma vitu si kwa kujua manufaa yake bali ni nafasi imepatikana naye anavyo vigezo basi, ndo maana watembeza bahasha wanaongezeka mitaani.
 
Asante kwa kunisaidia braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…