Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo ukilaza bali ni mfumo wa maisha tulionao, wengi wanasoma vitu si kwa kujua manufaa yake bali ni nafasi imepatikana naye anavyo vigezo basi, ndo maana watembeza bahasha wanaongezeka mitaani.Wewe mpaka unatafakari kusoma masters hujajua kama inalipa au hailipi? Kweli bongo ina vilaza wengi sana.
Kajifunze kufikiri kwa kishindo kwanza mazee.