Msc Finance and Accounting

..Nimesoma nje ya TZ !

What does you mean?

Umesoma nchi gani?

Wikipedia:
 
What does you mean?Sijakusoma bado ulicho jaribu kuniambia!

Lipi gumu!!!????Halafu huko western ndio "does" na "do" inatumikaje!!!!!?????

Context?!!!
Orientation???!!
Kwamba hiyo western orientation "unaisingizia kuwa haikupi uwezo kujua post graduate"???!!!!
Au huelewi kuwa orientation ni conext based na kila context ina culture yake katika kuelewa kupanga na hata uandishi achilia mbali perspectives/mental windows!!!!????
Au huelewi kuwa post yako ya kwanza ndio iliyotibua nyongo ya baadhi yetu????!!!!!
 

Mm mwenyewe huwa nafikir post graduate ndio masters na kuendelea...
 
Umesoma nchi gani?

Wikipedia:

Tunakimbilia kwenye error za uandishi tunaacha kujibu hoja za msingi!
Niliuliza nipate kujua tu maana nilikuwa sijui maana ya post graduate ni nn na kuna wengi tu humu likely walikuwa hawajui tofauti za post & Masters!

Kudos kwa Waungwana walionisaidia kunipa jibu sasa
 
Reactions: SMU
Siwezi saidia lolote maana mm mambo sijui ya post graduate huwa sijui ni nn?

Mm najua unasoma associate unaenda Bachelor unaenda Masters then PhD!Najua mpangilio wa elimu za Magharibi!

Post graduate si ndiyo Masters au ni bachelor?

Sa kama huelewi unajibu nini?si unyamaze usubiri maswali yatakayohusu huko magharibi
 

Aisee natamani ku like hata mara 200
 

"Au huelewi kuwa post yako ya kwanza ndio iliyotibua nyongo ya baadhi yetu?"Sina jibu la haya uliyoandika na kama umetibuka nyongo mm sina cha kukusadia lkn binafsi nilikuwa sijui maana ya tofauti hizo na inabaki hivyo!

"Halafu huko western ndio "does" na "do" inatumikaje?"Ni kosa la uchapishaji tu lilitokea lkn kosa hili haliondoi maana ya kuuliza swali langu kwenu na swali hili ikiwezekana lijibiwe maana itakuwa imenisadia mm mno badala ya sasa kuhamisha mjadala na kuanza kujadili matumizi ya do vs does
 
Kama hauna experience , uwe na GPA nzr . Mf kuanzia 3.5 or 3.8 hivi (Upper second class). ILA Jaribu bhana kuapply, siku izi vyuo pia ni biashara bhana.
 
Mkuu!

Nimesoma nje ya TZ !Hawana haya mambo ya post graduate NA KWA KWELI NINGEPENDA SANA KUJUA maana yake ni nn!Could you pls help me what is this?
Wee jamaa umesoma nje ya wapi, malawi au? Labda uniambie Australia si miongoni mwa nchi za magharibi (which is wrong) lkn kuna vyuo vingi tu vinatoa postgraduate diploma. Unasena nn
 
Kansas State University!Na sijui kama wana mfumo huu wa Post Graduate

Hamna sehemu niliposema kuwa USA hawana post graduate bali nilitaka nieleweshwe ni nn kitu hii maana kuna jamaa yangu aliniambia yy ana post graduate so nikawa sielewi na nashukuru nimeelezwa hapa maana yake!
 
UDSM hakuna course ya MSc Accounting & Finance. Hiyo kozi inatolewa Mzumbe University pekee. Kilichopo ni kwamba UDSM hawawezi kumdahili mtu mwenye Advanced Diploma katika programme ya Masters hadi mtu afanye Postgraduate Diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…