Msc Finance and Accounting

Msc Finance and Accounting

Unachoongea ni uharo tu!
Manzese girl akipata tablet inakuwa balaa tu mitaani!Likely una matatizo kwa wiki hii ya maumbile ya kina dada na scientifically mkiwa kwenye siku hizo huwa mna kuwa na hormones imbalances

Sijaona kilichokufanya u jump kwenye issue hii na kama issue hapa ni kusoma Ulaya usinilaumu mm bali mlaumu mzazi wangu aliyekuwa ananilipia ada;kunilaumu mm ni kunionea tu!

Aaaaa pole sana ndio najivunia mtoto wa manzese na huko ughaibuni unaporingia nakuja kula dinner tea mashariki ya mbali.
wamanzese mwenzangu aaaa eti nsikulaumu wewe niwalaumu wazazi wazazi wako nawapa pongezi ila wewe :thumbdown: sababu elimu yako haijakukomboa bado una doridori za watoto wa nursery.
 
Tafuta prospectus uangalie masomo kwa undani halafu jipime.
 
Aaaaa pole sana ndio najivunia mtoto wa manzese na huko ughaibuni unaporingia nakuja kula dinner tea mashariki ya mbali.
wamanzese mwenzangu aaaa eti nsikulaumu wewe niwalaumu wazazi wazazi wako nawapa pongezi ila wewe :thumbdown: sababu elimu yako haijakukomboa bado una doridori za watoto wa nursery.

U p u p u mtupu ulio andika!
 
Kansas State University!Na sijui kama wana mfumo huu wa Post Graduate

Hamna sehemu niliposema kuwa USA hawana post graduate bali nilitaka nieleweshwe ni nn kitu hii maana kuna jamaa yangu aliniambia yy ana post graduate so nikawa sielewi na nashukuru nimeelezwa hapa maana yake!
Postgraduate ni couese yoyote inayosomwa baada ya degree ya kwanza ambayo iko speciaized na field fulani na kwa kuzingatia study hours au muda maalum. Hata hivyo mara nyingi ikitamkwa postgraduate wanamaanisha postgraduate dipma au postgraduate certificate. Hicho chuo chako wana postgraduate certificate system. Ni ajabu hata chuo chako hukijui! Shabash!!!!!!
 
Nimesoma pale miak 4 then nirudi tena kwa miaka 2 SIJAWAHI sikia kitu kama hicho!

Anyway KUTOSIKIA haina maana kama ndiyo haipo!Unweza nipa japo link ya chuo hicho inayo onyesha kama wanatoa post graduate ndugu yangu Mipangomingi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom