mkuu pale IFM wanatoa Msc finance ya chuo cha uk fees yao ni £4000 tu wakati ukija ukisoma huku unatakiwa ulipie £17000 kwenye hicho chuo, hata waingereza wenyewe hawalipi hiyo ada now wanalipa £8500 ila kuna tetesi kuwa pale ifm fees itapanda muda si mrefu baada huku kupanda nako so ni bora kuchangamka sasa hivi. au unaweza kusoma pale IAA (kupitia coventry university uk)wana branch pale dar (pugu road kwenye zile nyumba za manji bila kukosea) wana Msc Investment and financial services na course nyingine sijui ni ipi. tena wao mara ya kwanza walikuwa wanatoa schoolarship unalipa Usdollar 4000 tu wakati ukienda kwao uk unalipa £12720 hizi sijui ni dollar ngapi now, so bado una nafasi ya kutosha, na kwa upande wa serikali ya JK kupitia wizara ya nishati ndio inawapeleka wafanyakazi wao kwenye hicho chuo kusomea mambo ya OIL and gas management kwa ngazi za master kuwaandaa wafanyakazi kwenye mambo ya gas and oil, naona hata malawi wamewapeleka vijana wawili kusomea mambo ya oil and gas management kwenye hicho hicho chuo nikawa najiuliza malawi wanategemea kupata oil kupitia ziwa nyasa na bado ziwa lina mgogoro hapo ndipo kazi ipo, ila ni uamuzi wako mkuu kulingana na mfuko wako.