Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai anafafanua kuhusu utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD) kuhusu ilivyojipanga katika kutoa huduma ikiwemo kuongeza wataalam wa afya na kununua vifaa.
Amesema MSD imeendelea kufanya Maboresho na mageuzi upande wa huduma za kichunguzi na maabara nchini, kwa kuleta vifaa tiba vya kisasa, vyenye kutumia teknolojia ya kisasa ili kuenenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia ulimwenguni.
Ameeleza kuwa maboresho haya yamefanyika kwenye ngazi zote za vituo vya kutolea huduma za afya nchini, kuanzia vituo vya afya vya msingi hadi Hospitali za kitaifa.