Msekwa awashangaa wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa Urais

Msekwa awashangaa wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa Urais

Mtu anayeongelea Rais kuongezewa muda ni mwendawazimu. Mpaka sasa hakuna mbunge yeyote mwenye akili, at least tunaowajua wana akili, aliyewahi kuzungumzia nia ya kumwongezea Rais muda.

Mambo ya kutaka Rais aongezewe muda, utayasikia toka kwa wabunge wale wajinga wajinga kama akina Kesy, Musukuma, Ngamia and the like. Huwezi kuyasikia hayo kutoka kwa wabunge kama Tibaijuka, Chenge, Jenista, and the like.

Hawa wajinga ni wa kuwapuuza. Wamekuwa wabunge kutokana na ujinga wa wapiga kura wao. Vinginevyo hawakustahili kuwa hata wenyeviti wa vijiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi pia tunamshangaa msekwa kwa kauli yake.yeye alikuwa spika miaka mingi akisimamia umaskini wa kutosha kwa watanzania.leo tumempata JPM wa kutuvusha anasema anashangaa kuongezewa muda? Atulie Tena ale penseni taratibu
Nchi inaongozwa kwa katiba. Katiba haiwezi kuwa inageuzwageuzwa kama shuka. Vinginevyo, labda kichwani kuwe kumeyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi pia tunamshangaa msekwa kwa kauli yake.yeye alikuwa spika miaka mingi akisimamia umaskini wa kutosha kwa watanzania.leo tumempata JPM wa kutuvusha anasema anashangaa kuongezewa muda? Atulie Tena ale penseni taratibu
Vipi wewe mwana mataga unapenda mjomba wako atawale hadi kiama? Mtaendelea kuchunga ngo'mbe hata akitawala kwa miaka 50 ijayo.
 
Msekwa kajitengenezea chuki kwa wanufaika na boss wa wanufaika maana hawawezi ishi nje ya siasa.
 
Nchi imekuwa ya ajabu sana, Sheria zetu haziheshimiwi tena, tushaharibu ustaarabu tuliokuwa nao.

CCM imeiharibu nchi mpaka huzuni.

Watakuja kuelewa baadae sana

God do something please and rescue our nation.
 
Corona haizingui wavuta bhangi
Yaani Corona inapita pembeni?
FB_IMG_1588946586219.jpg
 
Mwalimu alikua ni mtu wa haki sana, ana mapungufu yake ila alikua anamwaga point sana, yeye alikua kila akiongea anasisitiza mshikamano, haki, usawa.
Jiwe kila akiongea unasikia "hamkunipigia kura kamuombe msaada mbunge wenu wa upinzani", amejaa ego wananchi wakisema tunataka hiki anajibu "msinipangie mimi, sijaribiwi".

Tuna kiongozi tako haijawahi tokea toka nchi ipate uhuru. Leo anasema maendeleo hayataki chama, kesho unasikia wanachukua fomu wagombea wa ccm tu wengine wakienda wanakuta ofisi zimefungwa, anarudi tena mi ni rais wa wote sibagui, kesho ukisifia upinzani tu unasikia una kesi ya kuhujumu uchumi, amekaa anacheka tu na bichwa limejaa ka ziwa victoria.
He lacks leadership skills
 
Msekwa anawaumbua wastaafu wanafiki ambao wanajifanya kama hawayaoni haya yanayotokea Warioba, Kikwete na Mwinyi wamenyamaza sababu ya watoto wao kuwa sehemu ya viongozi
 
Uwe unakuja na habari kamili haya macover ya magazeti ni upupu. Title ya kuvutia content ni upupu tu
 
Huo ni upuuzi fulani tu! Burundi walimpa Nkurunziza cheo cha KIONGOZI MKUU, aanze kukitumikia, pindi atakapoapishwa Rais mpya. Ni kama vile, bila yeye Burundi haipo. Hicho cheo hajakionja hata kwa sekunde moja. Kafa!
Sasa jeeeee, hiyo nchi ndiyo mwisho wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mbaya zaidi kaugonjwa kameamua kuwatembelea wote, rais wa sasa na mawaziri wa zamani wote wako hoi
 
Back
Top Bottom