Msekwa, Lowassa kuonja Ukonga?

Msekwa, Lowassa kuonja Ukonga?

Kwa nini matokeo ya kamati au tume ya Warioba kuhusiana na Rushwa haiwekwi wazi? Kina Zitto na Dr. Slaa, tumieni mamlaka yenu kama Bunge kuitaka hii ripoti iwekwe wazi!
Mkuu Rev,
Mbona " Warioba Report" ilishatoka siku nyingi na baada ya hapo ukafuatia mkakati wa kupambana na Rushwa NACSAP 1 ambao ulitekelezwa hadi nadhani 2006 ulipofanyiwa review na kuandaa NACSAP 2 - ( Hii sina uhakika kama imeshaanza kutekelezwa)
 
WOS,

Ripoti hii unayoongelea ndiyo ile ya tume iliyoundwa na Mkapa mara tu baada ya kuingia madarakani 1995 na kumteua Jaji Warioba kuwa Mwenyekiti wa tume hiyo? Maana kama kumbukumbu zangu ni nzuri ripoti ile baada ya kukabidhiwa Mkapa akaamua kutoitoa na wala hakuifanyia kazi.
 
..kwa uelewa wangu Nalaila Kiula na George Mlingwa walishitakiwa kutokana na tuhuma zilizoelekezwa kwao na Tume ya "Jaji" Warioba.

..pia Dr.Juma Ngasongwa alijiuzulu Uwaziri kutokana na kutajwa ktk ripoti hiyo. Alitajwa ktk masuala ya Loliondo wakati aki-serve kama mshauri wa uchumi wa Raisi Mwinyi. baadaye iligundulika kwamba hakufanya makosa yoyote na Raisi Mkapa akamrudisha ktk baraza lake la mawaziri.

..Ripoti ya Warioba iliwahi kuchapishwa ktk magazeti ya Rai, lakini kwa kawaida yetu Watanzania hatupendi kusoma taarifa ndefu na nzito kama hizo.
 
Kwa nini matokeo ya kamati au tume ya Warioba kuhusiana na Rushwa haiwekwi wazi? Kina Zitto na Dr. Slaa, tumieni mamlaka yenu kama Bunge kuitaka hii ripoti iwekwe wazi!

Michezo ya kuigizwa katika tume mbalimbali zinatakiwa kusimamishwa mara moja. Mchungaji, hapa nakuunga mguu, mambo ya kisirisiri yamepitwa na wakati. Wananchi wanahitaji matokeo ya tume zote ambazo zimewahi kuundwa.
 
Back
Top Bottom