WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Mkuu Rev,Kwa nini matokeo ya kamati au tume ya Warioba kuhusiana na Rushwa haiwekwi wazi? Kina Zitto na Dr. Slaa, tumieni mamlaka yenu kama Bunge kuitaka hii ripoti iwekwe wazi!
Mkuu Rev,
Mbona " Warioba Report" ilishatoka siku nyingi na baada ya hapo ukafuatia mkakati wa kupambana na Rushwa NACSAP 1 ambao ulitekelezwa hadi nadhani 2006 ulipofanyiwa review na kuandaa NACSAP 2 - ( Hii sina uhakika kama imeshaanza kutekelezwa)
Kwa nini matokeo ya kamati au tume ya Warioba kuhusiana na Rushwa haiwekwi wazi? Kina Zitto na Dr. Slaa, tumieni mamlaka yenu kama Bunge kuitaka hii ripoti iwekwe wazi!