Msema kweli mpenzi wa Mungu

Msema kweli mpenzi wa Mungu

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Niseme ukweli bajeti zote nimezisoma ni nzuri sema hii ya Wizara ya Nishati imekaa poa sana. Raha ya kuwa na viongozi vijana wanaojua kuandaa bajeti na kuzipanga vyema.

FUOTYAgWYAE4VaO.jpg
 
Niseme ukweli bajeti zote nimezisoma ni nzuri sema hii ya Wizara ya Nishati imekaa poa sana. Raha ya kuwa na viongozi vijana wanaojua kuandaa bajeti na kuzipanga vyema.
Kwenye kutoa Mkopo Chuo kikuu mmeweka sh ngap ?
 
Ivi makamba bado ni kijana? Yani hawa watu ni waroho wanakaba fursa mpaka umri wanatunyonya
 
Back
Top Bottom