Msemaji Hezbollah Mohamed Afif adai kipaumbele kuichakaza Israel kijeshi ila wanaunga mkono juhudi zozote za kusitisha mapigano

Furaha ya Islamic terrorists ni kupigana na Israeli.
Wanafuata mafundisho ya mtume wao.
 
Hata gaza walikua wanaogopa kuingia wakihofia vidume vya hamasi
 
Hezbollah .misimamo yao.ndio.hiii.tangumwanzo wavita atakabla ajafa. Nasrallah msimamo.ulikuwa huu aujabadilika ukitaka amani simamisha vita gaza,, awa waisrael wa manyoni ni shidaa wapotoshaji sana waongo waongo
 
Hiii.vita. Israel atoboi uko.kwa hezbollah ndio wemejichanganya iyo.vita.na hezbollah itamgalimu sana sana msisaau vita kuchukua mudamlefu
Vinaigalimu.Israel pakubwa
.ikiwemo.watu kuzidi kukimbia ndan y Israel
 
Hao ndo waliichakaza Israel 2016

Au wanaume wa enzi hizo waliisha huko Lebanon?

Hii ni ajabu sana, Houthi (Hizibolla) kuchakazwa na mashoga kwa mjibu wa watoto wa allah
 

Attachments

  • 1000368798.jpg
    623.8 KB · Views: 1
Kuna mstari mwembamba sana kati ya ujinga na uislamu
 
Hata ungekua ni wewe unapigana na mtu yeye analenga uso tu si teke si ngumi ni uso tu Yahud huu upiganaji wao kiboko we ntu gani anageuza miji ya wenzie kama magofu ya kunduchi ndani ya lisaa tu mji unakua mali kale
 
Iyo miji ikisha vita inajengwa ndani muda mfupi na itapendeza ata zaid y sasa shida ip uko Israel raia wao awapendi mavitavita na tukio October 7 limewaogopesha wanachi na kukujua kumbe tunaweza vamiwa upande wetu.na jesh likashindwa kama walivoshindwa iyo 7octb msisaau kambi4 za jesh zilivamiwa iyo.siku so awaoni mustakabari mwema uko mbele, n iran kuweza kupiga wao kushidwa kuzuiya na ndio.adui wao mkuu. Yote yanafanya raia wasiwe na chaguo zaid y kukumbia wkt Netanyahu na washauri wake wanaona hii shida wananchi wanasafiri kwawingi lkn tukifikia aman bado kitisho kitabakia so kutatokea tn mzozo km huu tufanyenn zaid vita kuzuiya wanachi wasiondoke kwasasa na baadae chagua ni moja aman ya kuundwa mataifa ma2,, ambalo awataki na kuangaika kwao kote uko miaka n miaka namavita awataki kuundwa nchi y Palestine chguo lengine ni vita.japo waondoka.lkn.wao.kina Netanyahu wana amini jap wanchi wanasepa.lkn. watawashinda adui zao nakuwapokonya uwezo w kushambulia ndan y. Israel na ivyo kuwapa aman wanachi wao bila kuundwa taifa la Palestine je yupi atafanikiwa Netanyahu kwangu mm anawaingiza chaka wananch w.Israel nguvu ya.adui.yao.imadhid kuwa kubwa.na.awapoi.
 
Wamewaua askari wawili wa UNIFIL!
 
Wamewaua askari wawili wa UNIFIL!
Sababu walitaka UNIFIL wawasaidie eti kupigana na Hezbullah UNIFIL wakawambia siye hapa hatukuja kusaidia mtu tumekuja kuleta peace wakawamiminia risasi ndio wakawaua hao askari wa wawili. Israel yeye anajua hata afanye mawuji US atamkingia kifua
 
Abdullah nasrallah kama kiongozi wa hizbullah enzi za uhai wake alifanya miscalculations ambazo zimeikosti pakubwa lebanon na hizbullah na inavyoonekana kuna ma double agent wengi ndani ya hizbulah na hamas ndio maana myahudi anawabonyeza kizenji so easy mimi nadhani waombe ceasefire wajipange upya.
 
Mazungumzo ni muhimu Ili kuipesha Lebanon kuwa nchi ya vifusi kama Gaza.
 
israel anasema hatarajii kusitisha mapigano. tuendelee tu. inakuwaje gaidi aliyejitapa leo anakuja kuomba poo?
 
Huyu nitamchakaza, ila nakaribisha mtu yeyote aingilie kutuamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…