Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ni nani? Nina barua yake

MRI

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
334
Reaction score
429
Wakuu heshima kwenu!

Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.

Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
 
YEYOTE KATI YA WALE WASALITI
 
Wakuu heshima kwenu!

Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.

Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
Idondoshe hapa ataipata ASAP
 
Wakuu heshima kwenu!

Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.

Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
Mkuu wa Kambu ya Upinzani alikuwa na Mhe. Haikaeli Mbowe Mbuge wa Hai, akiwa na Wabunge 93 alioachiwa na Mgombea Lowassa (bilionea aliyenunua chams) na Katibu Mkuu Dr Slaa (aliyekata kuuzwa chama).

Wakaamua kuonja sumu kwa kujipima kutuletea mgombea fresh, hana upole wa Lowassa wala hekima za Dr Slaa, anaitwa Tundu Lissu amesheheni zaidi matusi na ugomvi.

Sumu haionjwi. Wabunge 97 wakaporomoka akabaki mmoja tena wala si Mchagga ingawa Wachagga wabunge wazalendo walukuwa wengi tu upande wa Chama Tawala.

Wakapata na Wabunge 19 vitimaalum (walikuwa tayari washateuliwa majina yako Tume ya Uchaguzi), wakaona washikaji wa Mbowe na Tundu Lissu na Nyalandu na Mbowe hawamo, wakaamua kuwafuta ili tukose wote.

Kwa kifupi, kama una shida mpelekee Mbunge wako Dr Kimei auvAskofu Gwajima au Dr. Tulia, kwani uko wapi? In short, hakuna KUB, hakuna haja ya kuwa na KUB, ni kufuja tu hela zetu walipakodi.
 
Midomo imekua mizito asali imejaa midomoni.
 
Wakuu heshima kwenu!

Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.

Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
Halima Mdee
 
ila mamayenu ndo afuje hela etiii, mamayenu amekopa sana hadi madeni yamemwelemea au hujui.
 
Hakuna kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

Ili kumpata kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, kwa matakwa ya katiba, ni lazima chama kinachounda kambi rasmi ta upinzani kiwe na wabunge wasiopungua 14% ya idadi ya wabunge wote.

Bahati mbaya mwaka 2020, uchaguzi uliporwa, na hakuna mbunge wa upinzani waliyemtangaza.

Magufuli alipoambiwa na waovu wenzake kuwa kutokana na uovu walioufanya wa kutowatangaza wapinzani walioshinda, hawatapata msaada wa zaidi ya trillion 1 toka Jumuiya ya Madola kwa sababu hakuna kambi rasmi ya upinzani, akawaamuru wawatangaze wapinzani ni washindi kwenye majimbo yote ambayo yalikuwa bado hawajawatangaza wabunge, bahati mbaya lilikuwa limebakia jimbo 1 tu.

Wakasuburia CHADEMA iwatangaze wabunge wa viti maalum, na akaelekeza kuwa wabunge wa CHADEMA watakaoenda mahakamani, washinde kesi, uchaguzi urudiwe ili ipatikane 14%, matokeo yake CHADEMA hawakwenda mahakamani kupinga matokeo ya jimbo lolote wala hawakuteua mbunge yeyote wa viti maalum. Katika hali ya kuchanganyikiwa, wakaamua kuwabeba akina Mdee na kuwatangaza kuwa wabunge wa kuteuliwa, wakisubiri wapinzani wengine waende mahakamani, lakini haikutokea. Mpaka leo hatupati hata ile hela ya bure toka Jumuiya ya Madola kwa sababu hatuna kambi rasmi ya upinzani.
 
Wakuu heshima kwenu!

Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.

Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
Bunge la sasa ni Bunge la chama kimoja, hakuna kambi rasmi ya upinzani kutokana na Watanzania kuwakataa wapinzani.

Bunge lina kambi mbili, walio wengi na walio wachache. Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?
P
 
Wakuu heshima kwenu!

Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.

Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
Yupo ubelgiji anakula bata huku anajifanya eti ni mkimbizi wa kisiasa, duh.
 
Wakuu heshima kwenu!

Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.

Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.

Hakuna kambi kuu ya upinzani labda tusubiri bunge lijalo.
 
Back
Top Bottom