Msemaji Mkuu wa Serikali Kukutana na Waandishi wa Habari Leo Sabasaba

Msemaji Mkuu wa Serikali Kukutana na Waandishi wa Habari Leo Sabasaba

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Leo, Juni 29, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, atafanya mkutano muhimu na waandishi wa habari.

Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 7:30 mchana.
1751180699326.png
 
Back
Top Bottom