Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo Dkt Damas Ndumbaro

Yaani TASWA ndo imejaa vilaza hivi.
 
Kwa jinsi wanavyolikoroga, Bw Ndumbaro na Msemaji inabidi wajiuzulu.
 
Hii nchi ukiwa mwehu mwehu ndio unapewa uongozi sehemu fulani.

Asilimia kubwa ya watendaji wa juu wa hii serikali ni wehu.
thats right, wehu watupu

michezo ni nyanja ya uchumi nzito sana duniani, hapa kwetu Waziri na Msemaji wa Serikali, na Msemaji wa Waandishi wa Habari Tanzania, wanadhani ni utani 80% of the time... wehu
 
Mkuu NALIA NGWENA achana na siasa njoo twende kwenye gurupu letu lile tupeane michongo ya hela.

Hapa wanazidi kuharibu zaidi. Soon utasikia wamepigwa pin na FIFA.
 
Ogopa sana watu wanaokosea halafu wakijua wamekosea, wanaenda kubadilisha sheria ili zibebe makosa yao wasionekane wamekosea.

Kizazi cha viongozi wa hovyo wasiopenda kuwajibika, viongozi janja janja!

Hawa wanaweza kuiba na wakigundulika watasema tulikuwa tunatania tu.
 
Mlitaka waruhusu maandamano alafu wakataze kuvaa jezi au mapokezi ya wageni aiport?
 
Hakukuwa na utani wowote. Huu ni upumbavu waliouzoea CCM wa kutoa amri, kumbe hakujuwa kuwa ujinga wake unavuka nje ya mipaka ya nchi.
 
Nchi hii imefika patamu sana. Kwa hiyo wenyewe wakivunja sheria, wanaenda wanabadili hiyo sheria ili wawe huru. Aiseee!

Sasa hawa wangepewa waihifadhi Sheria ya Musa leo hii kuua mtu si ingekuwa kama kumsalimia tu?
 
Nina uhakika alikuwa anawatania CCM wenzake huyo maana akili zao hazijui ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…