Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo Dkt Damas Ndumbaro

Tatizo hapo ni uwezo wa soka letu huko kwingine ni kuhangaika tu..
 
Kauli ya waziri ni kauli ya serekali. Bila ufafanuzi huu wa msemaji wa serekali polisi wetu ambao uweledi wao 0 wangeangaika kukamata watu ambao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…