Na wao ni sehemu ya umma pia, hivi wewe unaona sawa watu kuhamishwa sehemu waliyoishi zaidi ya miaka 200 Kwa sababu wanasiasa wamesema mnaishi Maisha ya kijima na wanataka kuwasaidia? na tunajua issue sio ujima watu wamekula pesa Kuna mtu anataka ile ardhi