saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Nenda shule ujinga wako usiwe mzigo kwa wengineHaya maswala ya takwimu wangeachana nayo tuu kwa sababu kuna watu kuwaambia kwamba Pato lao kwa mwaka ni m3+ ni kebehi na matusi unakua umeamua kuwatukana tuu, maskini wanazidi kua maskini kila siku alafu unawaambia eti pato lao limeongezeka si utani huu
Wawatukane watanzania mara ngapi mkuu?? [emoji23][emoji23]Haya maswala ya takwimu wangeachana nayo tuu kwa sababu kuna watu kuwaambia kwamba Pato lao kwa mwaka ni m3+ ni kebehi na matusi unakua umeamua kuwatukana tuu, maskini wanazidi kua maskini kila siku alafu unawaambia eti pato lao limeongezeka si utani huu
Acha kujibu UKUMA dogo ,,, siku ukitoka hapo kwa shem anayemtomba dada ako uje ukoment tenaNenda shule ujinga wako usiwe mzigo kwa wengine
Ni nani utaemteka kwa takwimu nchi hiiMsemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, amesema Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini kwa mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh. 3,048,681).
Akiongea Jijini Dar es salaam leo, Matinyi amesema “Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua licha ya athari kubwa za mlipuko wa UVIKO-19 duniani pamoja na vita za Urusi na Ukraine na pia huko Mashariki ya Kati, matatizo haya yaliutikisa uchumi wa Tanzania uliokuwa umefikia wastani wa ukuaji wa zaidi ya 7% na kuushusha hadi 4.2% mwaka 2020”
“Hata hivyo, hivi sasa ukuaji umefikia 5.2% kutokana na uongozi thabiti wa Serikali ya awamu ya sita ambapo Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh. 3,048,681)”
“Serikali pia imeendelea kudhibiti mfumuko wa bei ambapo kwa sasa ni chini ya 4% - kiwango ambacho ni miongoni mwa viwango bora katika nchi za jumuiya za kikanda ambazo Tanzania ni mwanachama, kama Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)”
“Akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa toshelezi ambapo katika kipindi chote cha miaka mitatu hadi December 2023, Nchi ilikuwa na akiba inayotosha kuagiza bidhaa kutoka nje ya Nchi kwa miezi 4.5, ikiwa ni kiwango cha juu ya lengo la miezi 4, akiba hiyo ni sawa na dola za Marekani bilioni 5.4”
Nitaelewa hilo endapo itasemwa kuwa ni pamoja na utajiri wa wana sii hasa,akina baresa,mo,hdangote na wale matajiri fisadi wote zikigawanyishwa kwa idadi yote ya hohehahe wa taifa lile la banana repablique😂Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, amesema Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini kwa mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh. 3,048,681).
Akiongea Jijini Dar es salaam leo, Matinyi amesema “Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua licha ya athari kubwa za mlipuko wa UVIKO-19 duniani pamoja na vita za Urusi na Ukraine na pia huko Mashariki ya Kati, matatizo haya yaliutikisa uchumi wa Tanzania uliokuwa umefikia wastani wa ukuaji wa zaidi ya 7% na kuushusha hadi 4.2% mwaka 2020”
“Hata hivyo, hivi sasa ukuaji umefikia 5.2% kutokana na uongozi thabiti wa Serikali ya awamu ya sita ambapo Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh. 3,048,681)”
“Serikali pia imeendelea kudhibiti mfumuko wa bei ambapo kwa sasa ni chini ya 4% - kiwango ambacho ni miongoni mwa viwango bora katika nchi za jumuiya za kikanda ambazo Tanzania ni mwanachama, kama Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)”
“Akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa toshelezi ambapo katika kipindi chote cha miaka mitatu hadi December 2023, Nchi ilikuwa na akiba inayotosha kuagiza bidhaa kutoka nje ya Nchi kwa miezi 4.5, ikiwa ni kiwango cha juu ya lengo la miezi 4, akiba hiyo ni sawa na dola za Marekani bilioni 5.4”
Ndio maana Tz inasemwa ni taifa lenye furaha ila bila shaka mimi na familja yangu sio watanzania...Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, amesema Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini kwa mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh. 3,048,681).
Akiongea Jijini Dar es salaam leo, Matinyi amesema “Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua licha ya athari kubwa za mlipuko wa UVIKO-19 duniani pamoja na vita za Urusi na Ukraine na pia huko Mashariki ya Kati, matatizo haya yaliutikisa uchumi wa Tanzania uliokuwa umefikia wastani wa ukuaji wa zaidi ya 7% na kuushusha hadi 4.2% mwaka 2020”
“Hata hivyo, hivi sasa ukuaji umefikia 5.2% kutokana na uongozi thabiti wa Serikali ya awamu ya sita ambapo Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh. 3,048,681)”
“Serikali pia imeendelea kudhibiti mfumuko wa bei ambapo kwa sasa ni chini ya 4% - kiwango ambacho ni miongoni mwa viwango bora katika nchi za jumuiya za kikanda ambazo Tanzania ni mwanachama, kama Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)”
“Akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa toshelezi ambapo katika kipindi chote cha miaka mitatu hadi December 2023, Nchi ilikuwa na akiba inayotosha kuagiza bidhaa kutoka nje ya Nchi kwa miezi 4.5, ikiwa ni kiwango cha juu ya lengo la miezi 4, akiba hiyo ni sawa na dola za Marekani bilioni 5.4”
SawaMilioni 3 za anayelalamika zipo KWA Bakhresa.
Huo ni wastani
Tumelelewa na dada wa kazi. Wazazi wakisafiri na yeye akishakula ukoko (alipenda ukoko) anawauliza, "Wadogo zangu si tumeshiba? Nisipike jioni eti?Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, amesema Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la Nchi zenye uchumi wa pato la kati, ikimaanisha pato la wastani la kila Mwanachi kwa mwaka (GNI per capital) ambapo mwaka 2019 ilikuwa dola 1,080 (Tsh. 2,743,813) lakini kwa mwaka 2022 ni dola 1,200 ( Tsh. 3,048,681).