Ni tapeli hana lolote la maanaHuyo msemaji anaongea vague
Huyu ni kada wa CCM wala hana loloteKumbe msemaji yupo 😄
Ova
Kutaka kujipendekeza kuliko pitiliza.Wakuu,
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi cha Uchaguzi ndipo upotoshaji unakuwa mkubwa mno.
My take
Hivi Msemaji Mkuu anajua kuwa hamna kundi linaloongoza kwa upotoshaji kama UVCCM?
View attachment 3154398
Mjinga mmoja nae kaja kuongea.Wakuu,