LGE2024 Msemaji Mkuu Wa Serikali: Serikali haifurahishwi na taarifa potofu katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Watanzania fuateni sheria

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi cha Uchaguzi ndipo upotoshaji unakuwa mkubwa mno.

My take

Hivi Msemaji Mkuu anajua kuwa hamna kundi linaloongoza kwa upotoshaji kama UVCCM?

Hivi kwani serikali ya CCM ndio inatakiwa iongee kuhusu huu uchaguzi au ni Tume (huru) ya Uchaguzi
 
Conservativeness zao zitaiweka nchi kwenye matatizo makubwa sana...

Kulikuwa na haja gani kuwaengua wapinzani kwa mass alafu unakuja kulalamikia miss information..

Watanzania wa kawaida tunajiuliza lengo la haya ni kitu gani?

Kwanini tusiache washindane kwenye box la kura?

Hivi Uwenyekiti wa mtaa nakadhalika ni mambo ya maana kwa chama tawala kiasi hicho kwel?
 
Wakuu,

Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi cha Uchaguzi ndipo upotoshaji unakuwa mkubwa mno.

My take

Hivi Msemaji Mkuu anajua kuwa hamna kundi linaloongoza kwa upotoshaji kama UVCCM?

View attachment 3154398
Kutaka kujipendekeza kuliko pitiliza.
 
Wakuu,

Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi cha Uchaguzi ndipo upotoshaji unakuwa mkubwa mno.

My take

Hivi Msemaji Mkuu anajua kuwa hamna kundi linaloongoza kwa upotoshaji kama UVCCM?

View attachment 3154398
Mjinga mmoja nae kaja kuongea.
 
Back
Top Bottom