Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

chuwaalbert

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
3,598
Reaction score
2,118
Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama zinapewa WASOMI. Hawa ni Madakitari wa Falsafa na pengine Maprofesa. Kwa Mtiririko huu, Nafasi ya Msemaji wa CCM Taifa itaenda kwa Mtu mwenye kiwango hiki cha elimu...
 
Ni mwelekeo mzuri.Natamani CCM mpya iliyosheheni wasomi wazuri na wenye weledi wa hali ya juu.
Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama zinapewa WASOMI. Hawa ni Madakitari wa Falsafa na pengine Maprofesa. Kwa Mtiririko huu, Nafasi ya Msemaji wa CCM Taifa itaenda kwa Mtu mwenye kiwango hiki cha elimu...
 
awamu hii ni ma DR, Pro na ma Eng, si ajabu akapewa Eng.
 
Atasinzia wakati we Press conference aliyoandaa yeye mwenyewe
 
Nafasi hiyo naipenda sana - CDM wanahitaji mtu wa kuwapa makavu
 
Naunga mkono hoja.. Wassira yuko vizuri kwenye iyo nafasi anafiti.
...Wakati ule ile Wizara ya Mahusiano (na Vyama vingine) alifanya "Vizuri".. Ila wengine walimwita Wa Hasira...
 
Msomi atakayekubali kuwa na hulka ya toilet paper,hatutomtambua kama msomi,labda iwe wakina Profesa Maji Marefu na mwenzie Propesa jipumba!!
 
Back
Top Bottom