Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

Tetesi: Msemaji mpya wa CCM ni Dkt....

Bavicha Mara zote huwa hamfichi mahaba yenu kwa ccm!
 
Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama zinapewa WASOMI. Hawa ni Madakitari wa Falsafa na pengine Maprofesa. Kwa Mtiririko huu, Nafasi ya Msemaji wa CCM Taifa itaenda kwa Mtu mwenye kiwango hiki cha elimu...

Masahihisho kidogo Mkuu ndani ya CCM hakuna Title ya Afisa Habari bali kuna Title tu ya Msemaji. Kuna tofauti pia kubwa sana ya Kimajukumu kati ya Information Officer na Spokesman au Spokeswoman wa Taasisi, Shirika au Kampuni fulani.
 
Asante sana Mkuu. Pengine hapa ningesema KATIBU wa...badala ya Afisa....Ukweli sikuwa na maanisha Information Officer. Asante kwa Masahihisho. Bila shaka hadhira haikunielewa vizuri. Umenisaidia SANA...
 
Karibu sana / mno Mkuu na nakupongeza kwa kukubali masahihisho kwani umeweza kuonyesha ni jinsi gani ulivyo mstaarabu kitu ambacho ni tofauti kabisa na mijitu mingine humu ambayo ukiisahihisha au kuikosoa inakukasirikia na kukuona mbaya.
 
Hii nafasi apewe "wiliam malecela" mtoto wa waziri mkuu mstaafu bwana John samweli!

lemutuz apewe shavu naye jamani daaah

degree tatu za ubaharia na uogeleaji si mchezo!
 
Angempa lusinde.yule jamaa ana shombo sijawahi kuona
 
Natabiri huko tuendako, kutokana na staili ya utawala wa huyo Bwana ya kuteua na baada ya kipindi kifupi kutumbua..............
..
Naamini wapo baadhi ya wananchi watakubali bora :wafe ' njaa kuliko kukubali teuzi za' kitimoto' za huyo Bwana, ambapo mwisho wa siku unaishia kudhalilika kwenye jamii inayokuzunguka.........
 
Atasinzia wakati we Press conference aliyoandaa yeye mwenyewe
Anacho fanya mkuru kuhakikisha vijana wa ki pwani hawana chao kabisa Na kwa mantiki hiyo kauwa chama sasa vijana na wazee wa pwani tuanzishe chama kingine
 
Back
Top Bottom