Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama zinapewa WASOMI. Hawa ni Madakitari wa Falsafa na pengine Maprofesa. Kwa Mtiririko huu, Nafasi ya Msemaji wa CCM Taifa itaenda kwa Mtu mwenye kiwango hiki cha elimu...
Ingekua safi sana ila awezi pewa kwa sababu alimpondea jamaa kuhusu elimu bure na kumwambia si suruhisho la watanzania n.k....Apewa Steven wassira.
Tumuombe Mwenyezimungu tusiwe ni wenye kufukuru na kumshirikisha na chochote kile..Msukuma au Makonda vp?
Lakini apewe na semina elekezi.....Inakuwaje wateule wengi ni wale waliokataliwa na wananchi kwenye kura...???Naukubali ule msemo wa Msigwa MP IRINGA TOWN.Wampe mrema hiyo nafasi
Asante sana Mkuu. Pengine hapa ningesema KATIBU wa...badala ya Afisa....Ukweli sikuwa na maanisha Information Officer. Asante kwa Masahihisho. Bila shaka hadhira haikunielewa vizuri. Umenisaidia SANA...Masahihisho kidogo Mkuu ndani ya CCM hakuna Title ya Afisa Habari bali kuna Title tu ya Msemaji. Kuna tofauti pia kubwa sana ya Kimajukumu kati ya Information Officer na Spokesman au Spokeswoman wa Taasisi, Shirika au Kampuni fulani.
....Kuwa...?Lakini apewe na semina elekezi.....Inakuwaje wateule wengi ni wale waliokataliwa na wananchi kwenye kura...???Naukubali ule msemo wa Msigwa MP IRINGA TOWN.
Asante sana Mkuu. Pengine hapa ningesema KATIBU wa...badala ya Afisa....Ukweli sikuwa na maanisha Information Officer. Asante kwa Masahihisho. Bila shaka hadhira haikunielewa vizuri. Umenisaidia SANA...
Sifa zoooote anazo. Very competent fellow and the best for the post kasoro moja tu. UMRI. Wakati ukutaApewa Steven wassira.
Anacho fanya mkuru kuhakikisha vijana wa ki pwani hawana chao kabisa Na kwa mantiki hiyo kauwa chama sasa vijana na wazee wa pwani tuanzishe chama kingineAtasinzia wakati we Press conference aliyoandaa yeye mwenyewe