chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
....Huyu HANA PhD...Ila kutokana na Kazi alofanya 2015, kuna NAFASI yake nzuri tu inakuja...Nafasi hiyo nashauri apewe Bulembo anajua kuupepeta sana
Nafasi hiyo nashauri apewe Bulembo anajua kuupepeta sana
Shuwa. Abdul Rahman alipokuwa na Cheo hiki, ilfuatiwa na kupata Ukatibu Mkuu wa Chama...Mwenyekiti wa Kampeni wa Taifa ni cheo kikubwa kuliko Msemaji
Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya Mwaka mpya 2017. Kwa utaratibu wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, nafasi nyeti za Serikali, hata Chama zinapewa WASOMI. Hawa ni Madakitari wa Falsafa na pengine Maprofesa. Kwa Mtiririko huu, Nafasi ya Msemaji wa CCM Taifa itaenda kwa Mtu mwenye kiwango hiki cha elimu...
...Atasinzia wakati wa Mikutano ya hadhara...Apewa Steven wassira.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nakuheshimuMhandisi toka Tanroad atakaimu nafasi!
Naunga mkono hoja.. Wassira yuko vizuri kwenye iyo nafasi anafiti.Apewa Steven wassira.
Wewe una PhD?Nafasi hiyo naipenda sana - CDM wanahitaji mtu wa kuwapa makavu
...Wakati ule ile Wizara ya Mahusiano (na Vyama vingine) alifanya "Vizuri".. Ila wengine walimwita Wa Hasira...Naunga mkono hoja.. Wassira yuko vizuri kwenye iyo nafasi anafiti.