Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Lkn si anajua simba na yanga ni wapinzan ktk mpra ayo maneno mbona ya kawaida tu siku zote timu inayocheza na yanga simba inakua upande huo na ivyo ivyo timu inayocheza na simba yanga inakua upande mwingne ata kuambiwa timu pinzan mfunge simba au yanga ni kawaida ayajaanza jana n wala ayaish janaSikiliza clip kwa umaakini. Unachoelezea sicho.
Kwa kifupi, anasema wao Azam hawahitaji kuambiwa washinde mechi na Simba au timu yoyote. Wanajua wajibu wao.
Ni sawasawa wote mumeoa ila kaka yako anakupangia cha kufanya kwenye ndoa yako.
Anaeisimamia ule ukurasa ana mambo meng ya ovyo unaweza kupita usione next mechi wala taarifa muhimu lkn unaona vtu vya ovyo ovyo tu ukurasa wa timu anaufanya kama wakeHata jana nimeliongelea hili kwenye group letu la Vpl whatsapp
Mimi ni shabiki wa simba ila kwa siku za karibuni admin wa page ya Simba kajisahau sana anaandika kama ni account ya mtu binafsi,yani ni full mipasho hata isiyo na msingi kwa level ya club yetu ilipofikia.
Shame on us.
Yani kwa level ya club kama simba ni aibu kubwa sanaAnaeisimamia ule ukurasa ana mambo meng ya ovyo unaweza kupita usione next mechi wala taarifa muhimu lkn unaona vtu vya ovyo ovyo tu ukurasa wa timu anaufanya kama wake
Hii ni personal sana labda kama we ni mtu wake wa karibu sana kwakeVipi na yule msemaji asiyepiga mswaki
Mzee, Mipasho Ipo Hadi Kwenye Page ya Twitter ya Bayern, Nini SimbaHata jana nimeliongelea hili kwenye group letu la Vpl whatsapp
Mimi ni shabiki wa simba ila kwa siku za karibuni admin wa page ya Simba kajisahau sana anaandika kama ni account ya mtu binafsi,yani ni full mipasho hata isiyo na msingi kwa level ya club yetu ilipofikia.
Shame on us.
Wamtimue uyu hajielewi kabisaView attachment 1764366
Paw pandisha hii clip kwenye uzi. Huyu Zaka ni Yanga, kimeemuuma sisi kui push Azam
Steve Yanga ndio zaka za kazi?Huyo Zaka zakazi siku nyingi nimeshamuona ni kiazi tu, anaropoka sana, hakuna msemaji pale, Azam wamefanya utani kumpa yule shabiki mandazi wa kandambili hiyo kazi.
,Lkn si anajua simba na yanga ni wapinzan ktk mpra ayo maneno mbona ya kawaida tu siku zote timu inayocheza na yanga simba inakua upande huo na ivyo ivyo timu inayocheza na simba yanga inakua upande mwingne ata kuambiwa timu pinzan mfunge simba au yanga ni kawaida ayajaanza jana n wala ayaish jana
View attachment 1764366
Paw pandisha hii clip kwenye uzi. Huyu Zaka ni Yanga, kimeemuuma sisi kui push Azam
Tatizo lipo pale aliposema timu moja kuiambia timu nyingine ishinde mechi hiyo ni match fixingKuna tatizo gani kwenye hiyo video? Simba mna matatizo sana,jamaa kasema hawahitaji kuambiwa mechi zao washinde,akimaanisha mechi zote za ligi na nyinginezo,tatizo mnaweweseka sana. Sijui kwa nini hamjiamini,hata huko club bingwa mmefika kwa figisu figisu tu,na hamuendi kokote
Tatizo lipo pale aliposema timu moja kuiambia timu nyingine ishinde mechi hiyo ni match fixing
Azam na Yanga wanajiamimi?Hiyo ni shida upande wa Simba,siyo Azam na Yanga. Simba huwa hawajiamini kabisa
Nimesoma uzi nimegundua wewe ni Mtu kweli wa Mpira na umeelewa dhamira ya ZAKA ZA KAZI! Watu hawajui... SIMBA kuitaka AZAM imfunge YANGA inaweza kusababisha YANGA itume Malalamiko TFF km MATCH FIXING na hivo kuichafua AZAM!Nadhani ujamuelewa Zakazakazi ebu isikilize vizuri hiyo clip hoja ni kwamba Azam inataka isilazimishwe na influence Simba kushinda game waache wenyewe washinde game zao.
Kuna tatizo gani kwenye hiyo video? Simba mna matatizo sana,jamaa kasema hawahitaji kuambiwa mechi zao washinde,akimaanisha mechi zote za ligi na nyinginezo,tatizo mnaweweseka sana. Sijui kwa nini hamjiamini,hata huko club bingwa mmefika kwa figisu figisu tu,na hamuendi kokote