Msemaji wa Azam anashangaza sana! Anahisi ushindi wa Azam kuna mkono wa Simba!

Hata jana nimeliongelea hili kwenye group letu la Vpl whatsapp

Mimi ni shabiki wa simba ila kwa siku za karibuni admin wa page ya Simba kajisahau sana anaandika kama ni account ya mtu binafsi,yani ni full mipasho hata isiyo na msingi kwa level ya club yetu ilipofikia.

Shame on us.
 
Sikiliza clip kwa umaakini. Unachoelezea sicho.

Kwa kifupi, anasema wao Azam hawahitaji kuambiwa washinde mechi na Simba au timu yoyote. Wanajua wajibu wao.

Ni sawasawa wote mumeoa ila kaka yako anakupangia cha kufanya kwenye ndoa yako.
Lkn si anajua simba na yanga ni wapinzan ktk mpra ayo maneno mbona ya kawaida tu siku zote timu inayocheza na yanga simba inakua upande huo na ivyo ivyo timu inayocheza na simba yanga inakua upande mwingne ata kuambiwa timu pinzan mfunge simba au yanga ni kawaida ayajaanza jana n wala ayaish jana
 
Hata jana nimeliongelea hili kwenye group letu la Vpl whatsapp

Mimi ni shabiki wa simba ila kwa siku za karibuni admin wa page ya Simba kajisahau sana anaandika kama ni account ya mtu binafsi,yani ni full mipasho hata isiyo na msingi kwa level ya club yetu ilipofikia.

Shame on us.
Anaeisimamia ule ukurasa ana mambo meng ya ovyo unaweza kupita usione next mechi wala taarifa muhimu lkn unaona vtu vya ovyo ovyo tu ukurasa wa timu anaufanya kama wake
 
Yani kwa level ya club kama simba ni aibu kubwa sana
 
Hata jana nimeliongelea hili kwenye group letu la Vpl whatsapp

Mimi ni shabiki wa simba ila kwa siku za karibuni admin wa page ya Simba kajisahau sana anaandika kama ni account ya mtu binafsi,yani ni full mipasho hata isiyo na msingi kwa level ya club yetu ilipofikia.

Shame on us.
Mzee, Mipasho Ipo Hadi Kwenye Page ya Twitter ya Bayern, Nini Simba
 
Huyo Zaka zakazi siku nyingi nimeshamuona ni kiazi tu, anaropoka sana, hakuna msemaji pale, Azam wamefanya utani kumpa yule shabiki mandazi wa kandambili hiyo kazi.
Steve Yanga ndio zaka za kazi?
 
Nakuelewa, ila kumbuka katika timu ambazo Azam hazipendi ni Simba na Yanga. Ni sawa sawa upokee maagizo kutoka kwa adui yako.
Lkn si anajua simba na yanga ni wapinzan ktk mpra ayo maneno mbona ya kawaida tu siku zote timu inayocheza na yanga simba inakua upande huo na ivyo ivyo timu inayocheza na simba yanga inakua upande mwingne ata kuambiwa timu pinzan mfunge simba au yanga ni kawaida ayajaanza jana n wala ayaish jana
,
 
Huyu afukuzwe au atolewe kwa mkopo kwa Simba kama walivyofanya kwa Ngasa
 
View attachment 1764366

Paw pandisha hii clip kwenye uzi. Huyu Zaka ni Yanga, kimeemuuma sisi kui push Azam

Kuna tatizo gani kwenye hiyo video? Simba mna matatizo sana,jamaa kasema hawahitaji kuambiwa mechi zao washinde,akimaanisha mechi zote za ligi na nyinginezo,tatizo mnaweweseka sana. Sijui kwa nini hamjiamini,hata huko club bingwa mmefika kwa figisu figisu tu,na hamuendi kokote
 
Tatizo lipo pale aliposema timu moja kuiambia timu nyingine ishinde mechi hiyo ni match fixing
 
Screenshot_20210426-165044_Chrome.jpg

Mzaramo kashampasua tayari
 
Nadhani ujamuelewa Zakazakazi ebu isikilize vizuri hiyo clip hoja ni kwamba Azam inataka isilazimishwe na influence Simba kushinda game waache wenyewe washinde game zao.
Nimesoma uzi nimegundua wewe ni Mtu kweli wa Mpira na umeelewa dhamira ya ZAKA ZA KAZI! Watu hawajui... SIMBA kuitaka AZAM imfunge YANGA inaweza kusababisha YANGA itume Malalamiko TFF km MATCH FIXING na hivo kuichafua AZAM!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Looser mwingine huyu hapa

Back
Top Bottom