Msemaji wa Azam anashangaza sana! Anahisi ushindi wa Azam kuna mkono wa Simba!

Unachejesha sana.Unamaanisha wachezaji wa yanga wamekula mlungula?
 
Nadhani ujamuelewa Zakazakazi ebu isikilize vizuri hiyo clip hoja ni kwamba Azam inataka isilazimishwe na influence Simba kushinda game waache wenyewe washinde game zao.
Wangecheza Ramadhan Cuo kama wanataka wasilazimishwe.. Mpira ni mchezo wa wazi, Haiwezekani uwekezaji wote ule halafu timu iwe inafanya inavyojisikia.
 
Unauhakika na unacho kinena.?
 
Wewe sio shabiki wa simba, au unataka tufukue makaburi? Maana jf haifuti mkuu[emoji28]. We toa hoja yako, utaeleweka tu.
 
Anaeisimamia ule ukurasa ana mambo meng ya ovyo unaweza kupita usione next mechi wala taarifa muhimu lkn unaona vtu vya ovyo ovyo tu ukurasa wa timu anaufanya kama wake
Kivipi anaufanya kama wake, kwamba alimpost mapenzi wake au? Au labda anapost vitu visivyohusiana na Simba Sc? Utopolo acheni hizo basi[emoji28].
 
Nipo sahihi kutofuatilia klabu zetu


πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Kivipi anaufanya kama wake, kwamba alimpost mapenzi wake au? Au labda anapost vitu visivyohusiana na Simba Sc? Utopolo acheni hizo basi[emoji28].
ukurasa rasmi wa timu kwenda ktk ukurasa wa timu nyngne kukoment ,kama vile wanavyofanya mashabik wewe unaona sawa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani mtu anawatakia mema yeye ana kasirika au anawakoga vyura wazidi kuichukia simba.

Uyujamaa anazingua tu, utopo wao wapokee kipigo kama kipigo kutoka kwa Azam.
Rage ni genius sana kuwaita hawa jamaa mbumbumbu!😁😁😁😁 Ukisikiliza hiyo clip na maelezo ya mtoa mada, ni vitu viwili tofauti.

Msemaji wa Azam yuko sahihi kwa 100%
 
Bongo kuna upangaji wa matokeo dhahiri kabisa hili halijifichi
 
Ni mlalamishi huyu ndugu zaka za kazi Mara ya pili hii nadhani namsikia akilalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…