Msemaji wa Azam anashangaza sana! Anahisi ushindi wa Azam kuna mkono wa Simba!

Msemaji wa Azam anashangaza sana! Anahisi ushindi wa Azam kuna mkono wa Simba!

Unachejesha sana.Unamaanisha wachezaji wa yanga wamekula mlungula?
Nimesoma uzi nimegundua wewe ni Mtu kweli wa Mpira na umeelewa dhamira ya ZAKA ZA KAZI! Watu hawajui... SIMBA kuitaka AZAM imfunge YANGA inaweza kusababisha YANGA itume Malalamiko TFF km MATCH FIXING na hivo kuichafua AZAM!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ujamuelewa Zakazakazi ebu isikilize vizuri hiyo clip hoja ni kwamba Azam inataka isilazimishwe na influence Simba kushinda game waache wenyewe washinde game zao.
Wangecheza Ramadhan Cuo kama wanataka wasilazimishwe.. Mpira ni mchezo wa wazi, Haiwezekani uwekezaji wote ule halafu timu iwe inafanya inavyojisikia.
 
Kuna tatizo gani kwenye hiyo video? Simba mna matatizo sana,jamaa kasema hawahitaji kuambiwa mechi zao washinde,akimaanisha mechi zote za ligi na nyinginezo,tatizo mnaweweseka sana. Sijui kwa nini hamjiamini,hata huko club bingwa mmefika kwa figisu figisu tu,na hamuendi kokote
Unauhakika na unacho kinena.?
 
Hata jana nimeliongelea hili kwenye group letu la Vpl whatsapp

Mimi ni shabiki wa simba ila kwa siku za karibuni admin wa page ya Simba kajisahau sana anaandika kama ni account ya mtu binafsi,yani ni full mipasho hata isiyo na msingi kwa level ya club yetu ilipofikia.

Shame on us.
Wewe sio shabiki wa simba, au unataka tufukue makaburi? Maana jf haifuti mkuu[emoji28]. We toa hoja yako, utaeleweka tu.
 
Anaeisimamia ule ukurasa ana mambo meng ya ovyo unaweza kupita usione next mechi wala taarifa muhimu lkn unaona vtu vya ovyo ovyo tu ukurasa wa timu anaufanya kama wake
Kivipi anaufanya kama wake, kwamba alimpost mapenzi wake au? Au labda anapost vitu visivyohusiana na Simba Sc? Utopolo acheni hizo basi[emoji28].
 
Kivipi anaufanya kama wake, kwamba alimpost mapenzi wake au? Au labda anapost vitu visivyohusiana na Simba Sc? Utopolo acheni hizo basi[emoji28].
ukurasa rasmi wa timu kwenda ktk ukurasa wa timu nyngne kukoment ,kama vile wanavyofanya mashabik wewe unaona sawa?
 
😂😂😂 yani mtu anawatakia mema yeye ana kasirika au anawakoga vyura wazidi kuichukia simba.

Uyujamaa anazingua tu, utopo wao wapokee kipigo kama kipigo kutoka kwa Azam.
Rage ni genius sana kuwaita hawa jamaa mbumbumbu!😁😁😁😁 Ukisikiliza hiyo clip na maelezo ya mtoa mada, ni vitu viwili tofauti.

Msemaji wa Azam yuko sahihi kwa 100%
 
Bongo kuna upangaji wa matokeo dhahiri kabisa hili halijifichi
 
Ni mlalamishi huyu ndugu zaka za kazi Mara ya pili hii nadhani namsikia akilalamika
 
Back
Top Bottom