GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7.
Tunaokujua ndani nje ( hasa GENTAMYCINE kwakuwa tuko katika Tasnia Moja ) tunatambua kuwa Rafiki yako mkubwa Ali Kamwe ( Msemaji wa Shangilia Ongoza Kundi Makundi CAF ) kupitia Wadhamini wa Timu yake wanakushawishi Kuichafua Simba SC kwa kila namna kisha unaingiziwa Pesa yako na Maisha yanaendelea na yanaenda pia vile vile.
Nikuambie Mdogo wangu Kiumri na hata Kifani ( Kitasnia ) Hashim Ibwe ( Mropokaji na Mpayukaji Juha wa Azam FC ) kuwa huna haja ya kutumia Mbinu ya Kuichafua Simba SC ili nawe uanze kuwa Maarufu bali kama unataka Kujulikana Tanzania nzima zungumza nami GENTAMYCINE na nitakupamba na kukupaisha vizuri hadi kila Mtu atakujua na Kukufuatilia.
Iwe mwanzo na mwisho Kuichafua Simba SC yangu na tunakujua kuliko unavyojijua sawa?
Huwezi kusema kuwa Azam FC yako ni Bora kuliko Simba SC huku ukiisifia Yanga SC yako.
Hovyooooooo.........!!!!!!