Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe acha Kuhangaika kukua katika Usemaji kwa Kuichafua Simba SC

Na yule Zaka Zakazi ni nani pale Azzam?
Zakazi alikuwa amefungiwa, sasa baada ya kumaliza adhabu, Hashimu Ibwe hataki kumkabidhi mwenye nafasi yake. Yaani ni sawa na Manara amalize adhabu halafu Ali Kamwe akatae kumkabidhi nafasi 😁😁😁
 
Unachanganya mafaili, Ally Kamwe ameajiliwa na Yanga kama Afisa habari, Manara ameajiliwa na nani kama nani?

Ukipata jibu utajigunduwa ni mjinga.
 
Manara ameajiriwa na Yanga kama Afisa habari na dua ya kumuombea ilifanyika hadharani, ila sema tu walipishana kidogo lugha na Ali Kamwe wakati dogo anakuja kukaimu nafasi

1680719879845.png
 
Back
Top Bottom