Msemaji wa Dar Young Africans ni nani hasa?

Ukiangalia vizuri kuna picha inajionyesha Yanga wameanzisha 'kijiji cha wasemaji' kupambana mtu mmoja tu anayewanyima raha katika soka la Tanzania Haji Manara.
 
Safi sana sasa mnaanza kuhangaika na Jerry Muro Yanga hata ikiwa na wasemaji kumi wewe kinakuuma nini? Pale Jerry kabipu kidogo tu jamaa wanahaingika suburini awashughulikie kama enzi zile manara alipojificha uvunguni kumwogopa Jerry
 
Angeileta hiyo password na kagera sugar sio gwambina๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kaamua kuja nazo sasa mana yuko likizo. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ila ni maneno tu zile Mkuu zisikutese sana bana.
 
Kaamua kuja nazo sasa mana yuko likizo. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ila ni maneno tu zile Mkuu zisikutese sana bana.
Sawa mkuu ila tukutane hapa hapa baadae kwa info... usinikimbie! Mungu tubariki gwambina๐Ÿคฒ
 
'Kijiji cha wasemaji Yanga ' na chenyewe ni Kamati ya kupambana na Haji Manara
 
Haji Manara kwa uwezo wake hajawai kushindwa kupambana na ' wana kijiji cha wasemaji ' pale Yanga . anachokisemea Sababu za
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ