Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Chanzo Cha taarifa tafadhali!Msemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na Hamas mapema leo, akiwa ni kiongozi wa juu kuuawa hivi karibuni tangu Israel ianzishe tena operesheni zake katika eneo hilo.
DWChanzo Cha taarifa tafadhali!
Huu uzi wa tano kuhusu hiyo habay na hauunganishwi na mwingine,unawafurahisha ma-mode waliopo kwaresma,ingekua netanyahu kukimbia mabomu ya Iran ungeunganishwa na uzi wa vita vya gazaMsemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na Hamas mapema leo, akiwa ni kiongozi wa juu kuuawa hivi karibuni tangu Israel ianzishe tena operesheni zake katika eneo hilo.