Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

Msemaji wa IDF Daniel Hagari akiwa hospitali ya Al Shifa kashindwa kuthibitisha mahandaki ya Hamas

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga.

IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao.

"Wanajeshi walipata sare za Hamas "ambazo zilitupwa kwenye sakafu ya hospitali ili magaidi waweze kutoroka kwa sura ya kiraia.

Matokeo haya yanathibitisha bila shaka kwamba hospitali hiyo ilitumika kwa ugaidi, kinyume kabisa na sheria za kimataifa

Tuliingia kwenye operesheni huko Shifa wakati ambao ulikuwa sahihi kwetu kiutendaji na busara, na pia kwa kuzingatia uhamishaji wa hospitali - kulikuwa na watu wengi zaidi hapo awali na ingehatarisha vikosi vyetu. Hamas walitaka kupata picha za IDF ikiwadhuru raia na wagonjwa, na tulifanya operesheni iliyozingatia na ya hali ya juu baada ya kujiandaa kwa uangalifu mapema. Lazima uipe muda huu wa operesheni, bado kuna watu wengi huko, na lazima uidhibiti kwa kasi inayofaa"
🚨 JUST IN: IDF SPOKESMAN DANIEL HAGARI ON AL SHIFA HOSPITAL

"Troops found Hamas uniforms "that were thrown on the hospital floor so that the terrorists could escape in civilian guise

These findings unequivocally prove that the hospital was used for terror, in complete violation of international law

We entered the operation in Shifa at a time that was correct for us operationally and intelligence-wise, and also considering the evacuation of the hospital - there were many more people there before and it would have endangered our forces. Hamas wanted to obtain photos of the IDF harming civilians and the sick, and we did a focused and high-quality operation after careful preparation in advance. You have to give this operation time, there are still a lot of people there, and you have to manage it at the right pace"

Source: Times of Israel
👇🏽Wameweka huu ushahidi😂
IMG_6260.jpeg
 
Ikulu ya White House juu ya uwepo wa Al Shifa Hamas:

"Tunajua kwamba Hamas hutumia hospitali kama Shifa kuficha na kuhifadhi silaha, na tunaelewa kuwa Israel inatafuta kuondoa hilo.

Ujasusi wetu wa jana kuhusu uwepo wa Hamas karibu na hospitali hauhusiani na muda wa operesheni huko Shifa."
 
Wale waisraeli wakuranga na rombo njooni muanze matusi kutetea taifa teule.
Sisi tunawaletea tu kauli za kaka zenu walioko Israel.

Karibuni sana
Mapovu yaliwatoka sana humu kuna nyuzi zaidi ya nne zinasema AL SHIFA HOSPITAL ndiyo Makao Makuu yq Hamas
Mods huu uzi uachheni msije kuunganisha. Watu wanameza
Propaganda tu.
 
Atakuwepo humu anapita kimyakimya kwa aibu maana alikuwa busy kurushia vipicha vya mahandaki yaliyogungulika chini ya hiyo hospital 🤣🤣
Wanameza propaganda tu walileta mpaka mahandaki ya Syria
 

Attachments

  • IMG_6247.jpeg
    IMG_6247.jpeg
    79.8 KB · Views: 2
Sources from inside Al-Shifa Medical Complex Accuse the IDF of Detaing Over 200 Palestinians in the Hospital’s Courtyard and Force Stripping Them
 
Back
Top Bottom