Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia Eti Bunduki zimefichwa kwenye Chumba cha MRI na Hio MRI inafanya kazi, wakati mtu yoyote mwenye upeo kidogo anajua MRI haiwezi kaa na Vyuma.The technology:
- A school book bag (empty)
- CDs
- Laptop
Yup. That’s the proof of a command center.
😂
Hawa watetea magaidi wana shida, mahandaki yaneonyeshwa mchana kweupe halafu wanaleta ngonjera eti Israeli anasema uongo, Hamas wameua na kuteka mkashangilia, Israel ikatangaza vita, wakaanzisha propaganda eti Israel anaenda kufyekwa na Hamas, mara Gaza litakuwa kaburi la IDF , mara Hezbollah wameangamiza jeshi la Israel, mara Israel hachomoki, mwisho kabisa Israel anaua watoto na WA awake, Hamas alivyoua watoto na wanawake mlishangilia na kupongezana kuwa mungu ni mkuu, kwa mazingira hayo myahudi Hana chaguo linguine isipokuwa mapambana, Israel ameshagundua hata ikiwa nchi Moja Hamas watawashambulia waisrael tu, so dawa yake ni kuwanyosha tu.Mbona ulileta Uzi hapa kuwa wanajeshi wa Israel wamekuwa wiped hapo Al Shifa, sasa hivi unasema vingine
Hakuna Handaki lililoonyeshwa zaidi ya hii video ya Hollywood waliopiga kwenye Shimo la Lift nayo Ishakua DebunkedHawa watetea magaidi wana shida, mahandaki yaneonyeshwa mchana kweupe halafu wanaleta ngonjera eti Israeli anasema uongo, Hamas wameua na kuteka mkashangilia, Israel ikatangaza vita, wakaanzisha propaganda eti Israel anaenda kufyekwa na Hamas, mara Gaza litakuwa kaburi la IDF , mara Hezbollah wameangamiza jeshi la Israel, mara Israel hachomoki, mwisho kabisa Israel anaua watoto na WA awake, Hamas alivyoua watoto na wanawake mlishangilia na kupongezana kuwa mungu ni mkuu, kwa mazingira hayo myahudi Hana chaguo linguine isipokuwa mapambana, Israel ameshagundua hata ikiwa nchi Moja Hamas watawashambulia waisrael tu, so dawa yake ni kuwanyosha tu.
Msemaji gani wa IDF yupo Al Shifa hospital kubwa zaidi Gaza. Wakati tulikubaliana IDF wamepigwa na Hamas na wamechakaa na kuzuiwa kuendeleza operation?Wanaukumbi.
Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga.
IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao.
"Wanajeshi walipata sare za Hamas "ambazo zilitupwa kwenye sakafu ya hospitali ili magaidi waweze kutoroka kwa sura ya kiraia.
Matokeo haya yanathibitisha bila shaka kwamba hospitali hiyo ilitumika kwa ugaidi, kinyume kabisa na sheria za kimataifa
Tuliingia kwenye operesheni huko Shifa wakati ambao ulikuwa sahihi kwetu kiutendaji na busara, na pia kwa kuzingatia uhamishaji wa hospitali - kulikuwa na watu wengi zaidi hapo awali na ingehatarisha vikosi vyetu. Hamas walitaka kupata picha za IDF ikiwadhuru raia na wagonjwa, na tulifanya operesheni iliyozingatia na ya hali ya juu baada ya kujiandaa kwa uangalifu mapema. Lazima uipe muda huu wa operesheni, bado kuna watu wengi huko, na lazima uidhibiti kwa kasi inayofaa"
🚨 JUST IN: IDF SPOKESMAN DANIEL HAGARI ON AL SHIFA HOSPITAL
"Troops found Hamas uniforms "that were thrown on the hospital floor so that the terrorists could escape in civilian guise
These findings unequivocally prove that the hospital was used for terror, in complete violation of international law
We entered the operation in Shifa at a time that was correct for us operationally and intelligence-wise, and also considering the evacuation of the hospital - there were many more people there before and it would have endangered our forces. Hamas wanted to obtain photos of the IDF harming civilians and the sick, and we did a focused and high-quality operation after careful preparation in advance. You have to give this operation time, there are still a lot of people there, and you have to manage it at the right pace"
Source: Times of Israel
👇🏽Wameweka huu ushahidi😂
Kajifundishe kwanza kuandika kisha uje kusema unachotaka kusema.Hawa watetea magaidi wana shida, mahandaki yaneonyeshwa mchana kweupe halafu wanaleta ngonjera eti Israeli anasema uongo, Hamas wameua na kuteka mkashangilia, Israel ikatangaza vita, wakaanzisha propaganda eti Israel anaenda kufyekwa na Hamas, mara Gaza litakuwa kaburi la IDF , mara Hezbollah wameangamiza jeshi la Israel, mara Israel hachomoki, mwisho kabisa Israel anaua watoto na WA awake, Hamas alivyoua watoto na wanawake mlishangilia na kupongezana kuwa mungu ni mkuu, kwa mazingira hayo myahudi Hana chaguo linguine isipokuwa mapambana, Israel ameshagundua hata ikiwa nchi Moja Hamas watawashambulia waisrael tu, so dawa yake ni kuwanyosha tu.
Hamas wanapiga na kuondoka, ni Guerilla warfare, natumai wewe unajua vizuri tu ila unajitoa Hufahamu ukizungumzia mabwana zako.Msemaji gani wa IDF yupo Al Shifa hospital kubwa zaidi Gaza. Wakati tulikubaliana IDF wamepigwa na Hamas na wamechakaa na kuzuiwa kuendeleza operation?View attachment 2814918View attachment 2814913
Naona umevurugwa onyesha uzi wangu ambao unasema Hamas na Israel wanapigana Hospital.Msemaji gani wa IDF yupo Al Shifa hospital kubwa zaidi Gaza. Wakati tulikubaliana IDF wamepigwa na Hamas na wamechakaa na kuzuiwa kuendeleza operation?View attachment 2814918View attachment 2814913
Hakuna Handaki lililoonyeshwa zaidi ya hii video ya Hollywood waliopiga kwenye Shimo la Lift nayo Ishakua Debunked
View attachment 2814916
Kuna jamaa alileta Kideo kabisa cha 3D kikionyesha mfano wa underground ofisi ilivyoMapovu yaliwatoka sana humu kuna nyuzi zaidi ya nne zinasema AL SHIFA HOSPITAL ndiyo Makao Makuu yq Hamas
Mods huu uzi uachheni msije kuunganisha. Watu wanameza
Propaganda tu.
Uhitaji elimu yeyote kujua ya kuwa hizo video ni propaganda za kuficha aibu ukizingatia amesha uwa watu wengi ndani ya hospital kwa visingizio vya hamas ina kambi zake sijui nn.Hawa watetea magaidi wana shida, mahandaki yaneonyeshwa mchana kweupe halafu wanaleta ngonjera eti Israeli anasema uongo, Hamas wameua na kuteka mkashangilia, Israel ikatangaza vita, wakaanzisha propaganda eti Israel anaenda kufyekwa na Hamas, mara Gaza litakuwa kaburi la IDF , mara Hezbollah wameangamiza jeshi la Israel, mara Israel hachomoki, mwisho kabisa Israel anaua watoto na WA awake, Hamas alivyoua watoto na wanawake mlishangilia na kupongezana kuwa mungu ni mkuu, kwa mazingira hayo myahudi Hana chaguo linguine isipokuwa mapambana, Israel ameshagundua hata ikiwa nchi Moja Hamas watawashambulia waisrael tu, so dawa yake ni kuwanyosha tu.
Usitake kupoteza lengo ,mada hapa ni hospital ya Al shifa ndo makao makuu ya operation za hamas ndani ya gaza, viongozi wa Hamas akiwemo kamanda Mkuu yuko humo na vikosi vyetu vimemzunguka hana pakukimbilia,na baadhi ya mateka wako ndani ya hospital ,huo ndo umekuwa wimbo wa Israel na wafuasi wake humu jf.Msemaji gani wa IDF yupo Al Shifa hospital kubwa zaidi Gaza. Wakati tulikubaliana IDF wamepigwa na Hamas na wamechakaa na kuzuiwa kuendeleza operation?View attachment 2814918View attachment 2814913
Wanaukumbi.
Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga.
IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao.
"Wanajeshi walipata sare za Hamas "ambazo zilitupwa kwenye sakafu ya hospitali ili magaidi waweze kutoroka kwa sura ya kiraia.
Matokeo haya yanathibitisha bila shaka kwamba hospitali hiyo ilitumika kwa ugaidi, kinyume kabisa na sheria za kimataifa
Tuliingia kwenye operesheni huko Shifa wakati ambao ulikuwa sahihi kwetu kiutendaji na busara, na pia kwa kuzingatia uhamishaji wa hospitali - kulikuwa na watu wengi zaidi hapo awali na ingehatarisha vikosi vyetu. Hamas walitaka kupata picha za IDF ikiwadhuru raia na wagonjwa, na tulifanya operesheni iliyozingatia na ya hali ya juu baada ya kujiandaa kwa uangalifu mapema. Lazima uipe muda huu wa operesheni, bado kuna watu wengi huko, na lazima uidhibiti kwa kasi inayofaa"
🚨 JUST IN: IDF SPOKESMAN DANIEL HAGARI ON AL SHIFA HOSPITAL
"Troops found Hamas uniforms "that were thrown on the hospital floor so that the terrorists could escape in civilian guise
These findings unequivocally prove that the hospital was used for terror, in complete violation of international law
We entered the operation in Shifa at a time that was correct for us operationally and intelligence-wise, and also considering the evacuation of the hospital - there were many more people there before and it would have endangered our forces. Hamas wanted to obtain photos of the IDF harming civilians and the sick, and we did a focused and high-quality operation after careful preparation in advance. You have to give this operation time, there are still a lot of people there, and you have to manage it at the right pace"
Source: Times of Israel
👇🏽Wameweka huu ushahidi😂
Wale waisraeli wakuranga na rombo njooni muanze matusi kutetea taifa teule.
Sisi tunawaletea tu kauli za kaka zenu walioko Israel.
Karibuni sana.