Wewe mgalatia uchwara unamuangusha sana Yesu. Sasa ngoja tukutafute. Tukikupataaa...Hawa IDF sasa wapewe kazi huko Hollywood maana hakuna namna sasa wana vipaji hawa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mgalatia uchwara unamuangusha sana Yesu. Sasa ngoja tukutafute. Tukikupataaa...Hawa IDF sasa wapewe kazi huko Hollywood maana hakuna namna sasa wana vipaji hawa .
Kula hizo tende, halua na urojo kwa nidhamu.Weka huo uzi mmechanganyikiwa na ushabiki mandazi wenu.
Onyesheni Jeshi la Hamasi liliopo Al shifaa hospital au telecommunications centre, hayo mahandaki.
😀😃😁😅🤣Huyo MK254 hutumia ids zaidi ya 6
Wewe mwarabu au muislamu tu?Wale waisraeli wakuranga na rombo njooni muanze matusi kutetea taifa teule.
Sisi tunawaletea tu kauli za kaka zenu walioko Israel.
Karibuni sana.
Bro Hamas wana mamia kama sio maelfu ya video kila wakishambulia wanaweka na video kuonesha wanatoka Chini ya Ardhi kwenye Tunnels, so far Hio ya kujificha Na raia ni Excuse ya IDF kuua ila Haina ushahidi wowote wa maana,Wanapiga na kuondoka kwenda wapi labda wajifiche kwenye kundi ra raia na Usichokijua ni kwamba ikitokea IDF wameshambuliwa basi uelekeo yalipotokea mashambulizi nyote mnaangamizwa haijalishi mmehusika au hamkuhusika inaitwa collective punishment maana inaonekana na nyinyi raia mnawaunga mkono Hamas.
Winning what Exactly, you just need to use 0.0001% ya Akili yako kusoma kuona Kilichoanzisha vita NI Hamas kuchukua Mateka na so Far IDF wanaua watu wasio husika na wameokoa Jumla ya Mateka 0. Kama Lengo la IDF ni kuokoa Mateka na mpaka sasa wamepata Mateka 0 unapata wapi Guts za kusema Wameshinda? Unless Unakubaliana na wapenda Haki Duniani kwamba lengo la IDF ni kuua Raia tu wa Palestina hawana shida na Hamas kwa watoto Na wanawake tu wamewaua wengi ila So Far They Failed kupambana na Hamas.Taratibu sasa, tiyari mmekubali Israel imeingia Gaza na hadi kufika hospitalini. Ni lini Hamas waliipiga Israel kuizuia isifanye operation? Na Israel ilirudi lini kiwashinda. Maana taarifa zenu humu huwa mnadai Hamas inapiga, Israel inaokota maiti za wanajeshi, Israel imezuiwa kuendelea, majenerali watano wa Israel wamefariki.
Ghafla mnalalamika Israel imevamia Al Shifa, baadae msemaji wa IDF kafika Al Shifa. Guess who is winning
Kwani wanajeshi wa HAMAS sasa hivi wako wapi?Wanaukumbi.
Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia kama kinga.
IDF wamevamia hospitali na na hii ndiyo taarifa yao.
"Wanajeshi walipata sare za Hamas "ambazo zilitupwa kwenye sakafu ya hospitali ili magaidi waweze kutoroka kwa sura ya kiraia.
Matokeo haya yanathibitisha bila shaka kwamba hospitali hiyo ilitumika kwa ugaidi, kinyume kabisa na sheria za kimataifa
Tuliingia kwenye operesheni huko Shifa wakati ambao ulikuwa sahihi kwetu kiutendaji na busara, na pia kwa kuzingatia uhamishaji wa hospitali - kulikuwa na watu wengi zaidi hapo awali na ingehatarisha vikosi vyetu. Hamas walitaka kupata picha za IDF ikiwadhuru raia na wagonjwa, na tulifanya operesheni iliyozingatia na ya hali ya juu baada ya kujiandaa kwa uangalifu mapema. Lazima uipe muda huu wa operesheni, bado kuna watu wengi huko, na lazima uidhibiti kwa kasi inayofaa"
🚨 JUST IN: IDF SPOKESMAN DANIEL HAGARI ON AL SHIFA HOSPITAL
"Troops found Hamas uniforms "that were thrown on the hospital floor so that the terrorists could escape in civilian guise
These findings unequivocally prove that the hospital was used for terror, in complete violation of international law
We entered the operation in Shifa at a time that was correct for us operationally and intelligence-wise, and also considering the evacuation of the hospital - there were many more people there before and it would have endangered our forces. Hamas wanted to obtain photos of the IDF harming civilians and the sick, and we did a focused and high-quality operation after careful preparation in advance. You have to give this operation time, there are still a lot of people there, and you have to manage it at the right pace"
Source: Times of Israel
👇🏽Wameweka huu ushahidi😂
View attachment 2814821
Hamas wapo kwenye Mahandaki, tatizo sio hilo.Kwani wanajeshi wa HAMAS sasa hivi wako wapi?
Mi nadhani mahandaki yapo ila wameshindwa kuyaona
Uzuri tunawachapaSurprise ya liars [emoji23][emoji23][emoji23][emoji845]
A Palestinian comedian mocks the Hamas leader for hiding in tunnels under the Shifa hospital.Uzuri tunawachapa
Hizo video huwa wanaonyesha wanapoibuka kwenye tunnels na kushambulia hawaonyeshi baada ya shambulio kama wanarudi tena kwenye mashimo ama laah hii Ina maana wakishashambulia basi wote wanaangamizwa yaani kushambulia IDF ni sawa na kujitoa muhanga.Bro Hamas wana mamia kama sio maelfu ya video kila wakishambulia wanaweka na video kuonesha wanatoka Chini ya Ardhi kwenye Tunnels, so far Hio ya kujificha Na raia ni Excuse ya IDF kuua ila Haina ushahidi wowote wa maana,
Umekosea njia hapa ni International Forum malalamiko yako peleka Jukwaa la Siasa .Wanaopigana ni Hamas na Israel, lkn mnao bishana watanzania mnaoburuzwa buruzwa tu ,wenzenu wanapinga kuburuzwa nyie mkifika kujadili matatizo yenu mnatengana huyu ccm yule cdm, wkt wote mnaNJAA na SHIDA tele ,ila kwa UNAFIKI WENU mnajiona WAMOJA
Bado Waafrica tunashida zetu hao ,wajinga waache nao wakutane na shida, Okoa mwafrika mwenzako acha utumwa ,MkuuUmekosea njia hapa ni International Forum malalamiko yako peleka Jukwaa la Siasa .
Haya tu assume unachoongea ni sahihi, wanatoka wanapiga IDF wanauliwa.Hizo video huwa wanaonyesha wanapoibuka kwenye tunnels na kushambulia hawaonyeshi baada ya shambulio kama wanarudi tena kwenye mashimo ama laah hii Ina maana wakishashambulia basi wote wanaangamizwa yaani kushambulia IDF ni sawa na kujitoa muhanga.