Msemaji wa Jeshi la Polisi ashambuliwa na raia kwenye mazishi ya ASP Kirumira

Msemaji wa Jeshi la Polisi ashambuliwa na raia kwenye mazishi ya ASP Kirumira

Police wenýe akili timamu na wanaojielewa wanauawa wanabaki mazombie tu

Pole na udini wako, mwaka huu kuna ofisa mkubwa wa polisi aliuwawa, Kama mwezi mmoja umepita kuna mmbunge aliuwawa kote huko Uganda
 
Pole na udini wako, mwaka huu kuna ofisa mkubwa wa polisi aliuwawa, Kama mwezi mmoja umepita kuna mmbunge aliuwawa kote huko Uganda
Wewe jamaa vipi? sehemu gani hapo kwenye comment yangu nimeweka udini?
 
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Emilian Kayima, Ameshambuliwa kwa mawe na raia wenye hasira kali wakati akizungumza na wanachi katika Mazishi ya aliyekuwa askari polisi Muhammed Kirumira aliyekufa kwa kupigwa risasi Usiku wa kuamkia jana Bulenga.

Hata hivyo katika Hotuba yake, Msemaji huyo amevilaumu vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo kuhusika na tukio hilo siku ya jumamosi ya tarehe 8/9/18 usiku katika wilaya ya wakiso, Vile vile kabla ya kifo chake, Marehemu Mohhamed Kirumira alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa uvunjifu wa haki za raia na kiongozi wa jeshi la polisi nchini humo Kale Kayihura.
Bobi Wine: Kirumira was assassinated

Pasted:
 
Wauganda wanatakiwa wajue bila kutumia mtutu wa bunduki kumtoa huyu dikteta M7 ataendelea kutawala mpaka afe na ataua wengi watakao mpinga.
 
HATARI SANA HIZI NCHI UGANDA,RWANDA,BURUNDI NA TANZANIA KWA WAKOSOAJI!!!!
RIP KIRUMIRA,
 
Africa Mashariki ukimtoa rais Uhuru waliobakia wanafana kwa tabia zao!
 
Screenshot_20180910-183458.png
 

Attachments

  • Screenshot_20180910-183509.png
    Screenshot_20180910-183509.png
    110.1 KB · Views: 45
Ukatili mkubwa sana huu. Unaua binadamu mwenzako wakati unajua ako na batoto badogo wanamtegemea, wewe unaua wote baba na mama.

Siku ya Kiyama kutakuwa watu wana Makontena ya dhambi kubwa kubwa Sana
 
Back
Top Bottom