Police wenýe akili timamu na wanaojielewa wanauawa wanabaki mazombie tu
Wewe jamaa vipi? sehemu gani hapo kwenye comment yangu nimeweka udini?Pole na udini wako, mwaka huu kuna ofisa mkubwa wa polisi aliuwawa, Kama mwezi mmoja umepita kuna mmbunge aliuwawa kote huko Uganda
Alama za nyakati tunaziona tulio pembeni mwa maakuli Chief, mara nyingi walio mezani huwa hawazioni hizo alama......Huyu M7 hasomi alama za nyakati.!
Ukatili mkubwa sana huu. Unaua binadamu mwenzako wakati unajua ako na batoto badogo wanamtegemea, wewe unaua wote baba na mama.