I think CAF walileta mfumo mpya ambao unazitaka klabu ziwe na maafisa habari na watu wa fedha tatizo letu hata hizo kazi hazitangazwi wazi ni kupeana tu
Msemaji wa klabu anaweza kuwa yoyote hata asiye na taaluma mfano Haji Manara, wakati Afisa habari lazima uwe na taaluma ya habari kama Dismas Ten wa Yanga.