Msemaji wa klabu/afisa habari wa klabu

Msemaji wa klabu/afisa habari wa klabu

olekamaru

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
78
Reaction score
74
Naomba kujuzwa huu mfumo naona una nguvu zaidi hapa Tanzania.je ndivo ilivyo dunia nzima au Africa peke yake wu ipoje?huu mfumo tumeurithi wapi
 
Msemaji wa klabu anaweza kuwa yoyote hata asiye na taaluma mfano Haji Manara, wakati Afisa habari lazima uwe na taaluma ya habari kama Dismas Ten wa Yanga.
 
Back
Top Bottom